totoreshakuku
Member
- Aug 3, 2016
- 35
- 7
Mwanamke atarespond utakavyo mtreat ni mvumilivu Na mumebeba mambo Na mila Na desturi ndo yanaharibu familia unamuendesha mke Kama Gari bovu Na manyanyaso hivi utapata nini kutoka kwake
Huyu jamaaa ana akili sanaMwanamke dawa yake ni kula kisawa Sawa kwenye Sita halaf unampuuza unakuwa unamchukulia kawaida.. Hapo atakuona Mungu wake
nimeshawishika kureply humu baada ya kuona hii comment yako yenye uongo mwingi hadi kichefuchefu..Hakuna Anaeweza kukupa somo kuhusu wanawake wala binadamu yeyote kaka angu... Kumsoma mtu inahitaji elimu ya hali ya juu. Ila tambua kwamba kama unavyoshangaa wanawake na sisi tunawashangaa wanaume. Mwanamke hana complication sana... Ni wewe tu kutambua mtu ulienae na kumtreat kwa jinsi alivyo na sio kutumia mazoea. Watu tuko tofauti. Ila mi nadhani mwanamke yeyote ukimchukulia kama malkia haitakupa presha. Tunapenda mwanaume atuelewe na atutreat kama vile hakuna mwanamke mwingine duniani na atusikilize.
Ukweli mchungunimeshawishika kureply humu baada ya kuona hii comment yako yenye uongo mwingi hadi kichefuchefu..
Eti mnapenda mwanaume atakaewajali na kuwathamini kama vile hakuna mwanamke mwingine!! SERIOUSLY??
Hiyo principle ilikuwa workable enzi hizo kwa wanawake waliolewa na babu zetu pamoja na baba zetu walioowa nusu karne iliyopita na wala sio kwa nyie wanawake wa leo hii (WANAWAKE WA MWENDO KASI)
Nyie wanawake wa leo hii mwanaume akiwa submissimive huyo ni dhaifu kwenu, mnamchoka mapema na mnamtafutia makando makando na drama nyingi hadi atakimbia mwenyewe.
Nyie wanawake wa leo hii mwanaume akiwa humble anakaribisha dharau na mnageuka kuwa nyie ndio mababa wenye nyumba, ndoa nyingi siku hizi ambazo mwanamke ndio msemaji mkuu ni lazima utakuta mwanaume ni mpole,mstaarabu,asiye na maneno mengi n.k
Kwa kifupi ni kwamba wengi wa nyie wanawake wa mwendo kasi ni ngumu sana kudumu na aina ya mwanaume unayemuongelea.
Nyie wanawake wa siku hizi mlioathiriwa na globalization mnafaa kupelekwa kihuni tena bila huruma, yaani mwanaume anakuamulia kila kitu cha kufanya... na ni makosa makubwa sana kuishi na mwanamke kidiplomasia huo ndio mwanzo wa kufa mapema na hasa nyie viumbe wa leo msioeleweka mnataka nini hasa.
pamoja mkuu nafrahi sana napokutana na watu wenye mawzo kama yangu kichwani
Wana moyo kama wa mama yako mzazi, mwanamke mwenzao...Salam wana MMU,
Unajua sisi ni binadamu wote na tumeumbwa na Mungu tushirikiane ila sasa nashindwa kuwaelewa hawa wanawake mioyo yao yani wanakuwa wanafanya vitu vya ajabu sana, ni watu wenye kutunza siri sana na wanaakili nyingi sana hasa za kuchunguza watu au kudadisi.
Pia hujua kutunza zana mambo yao ikiwa ni pamoja na miili yao hata kama wanaudhaifu usijue. Ni viumbe wanaobadili badilika kama vinyonga na ni waigizaji wazuri sana, kwa kudanganya ndio usiseme.
Mimi nilikua na mwanamke tulipendana sana akaja mtu flani wa mtaani kwetu akamsalimia mimi nikaja nikakuta wanapiga stori nikajihisi vibaya nikamuonya nikamwambia sitaki amzoee huyo mwanaume chakushangaza kwa kua alishajiwekea akilini kuwa namuwaza vibaya akaamua kulala na yule mwanaume kabisa na akawaambia watu ili nijue kabisa wafanya mapenzi yani toka hapo huwa naona wanawake ni viumbe wa ajabu sana kitu ambacho unahofia au una wasiwasi nacho ndio atakifanya.
Wanawake wana vimaneno vidogo au ishara/lugha ya picha zina maana kubwa sana, ukiwaona ni viumbe dhaifu ila ukijichanganya tu wanakumaliza na kwa mawazo yangu ya mbali sio dhaifu kama inavyoelezeka. Kwa kweli mkinipa saikolojia ya mwanamke nitafurahi sana. Kweli wanawake ni umiza kichwa ukikaa vibaya wanakufanya uchanganyikiwe, ukosane na marafiki hata wazazi wako na wana kuingiza kabisa kaburini.
Naombeni mnipe somo wataalamu naamini huku kuna watu wa aina mbalimbali, taaluma na umri pia.