Hivi wanawake wana mioyo gani?

Hivi wanawake wana mioyo gani?

tatizo nyie wanawake mnabadilika badilika sana tukisema tuna wadadisi ni kazi bure tuu kwani nyie ni waigizaji wazuri tuu.
Sasa umeshajua ukwl unatuambia cc iliiweje..?? Mungu mwenyewe alilijua hilo akawaambia that muishi na cc kwa akili..!! Sasa we umeshindwa unakuja kutulilia humu unataka tukusaidiaje.??
 
Mwanamke unatakiwa uishi nae kwa akili kama biblia si wote wako hvyo kuna wanawake wazur sana ila unatakiwa uwajue sana tabia zao kwa undan na wew pia ujiangalie mapungufu yako
 
Ndo maana nakwambia mimi siwezi lihifadhi katika store yangu kama eti ni mali yangu. no ni kama chakula tuu unakula mwishowe unaenda kunya.
Ndo hivo siwezi wekeza kwa wanawake bora nikampe pesa zangu maskini na mayatima nijiwekee hazina kwa Mungu.
Hata udharau vipi ! Lakini ndo ushazaliwa na mwanamke na usipoangalia utatuletea shangazi wengiii wa kike usipowekeza kwenye tundu lako la Asali unayoenda kuilamba,utawekeza kwa binti zako ambao wengine wataila kama asali
 
Sasa umeshajua ukwl unatuambia cc iliiweje..?? Mungu mwenyewe alilijua hilo akawaambia that muishi na cc kwa akili..!! Sasa we umeshindwa unakuja kutulilia humu unataka tukusaidiaje.??
Kwani na wewe uliombwa ulete miguu yako hapa na jicomment lako chafu hapa linanuka shombo la samaki waliooza , hujaombwa we pita pembeni we vipi.
niko hapa kutimiza mahitaji ya moyo wangu wala sitishwi na wewe hata sijui sura yako ikoje
 
Hata udharau vipi ! Lakini ndo ushazaliwa na mwanamke na usipoangalia utatuletea shangazi wengiii wa kike usipowekeza kwenye tundu lako la Asali unayoenda kuilamba,utawekeza kwa binti zako ambao wengine wataila kama asali
we unadhani nategemea tundu la mwanamke kuishi hapana, nina vitu vinavyouliwaza moyo wangu.
kama ni hayo mambo siku hizi zipo hata k artificial na unafaidin kweli kwani ni nzuri na unaliwazika haswa sio hiyo mishimo yenu inanuka kama chemba ya mortuarty mnakuja kutusumbua hapa. utawasumbua wanaume wengine ila sio mimi.
 
Kwani na wewe uliombwa ulete miguu yako hapa na jicomment lako chafu hapa linanuka shombo la samaki waliooza , hujaombwa we pita pembeni we vipi.
niko hapa kutimiza mahitaji ya moyo wangu wala sitishwi na wewe hata sijui sura yako ikoje
Hahahaha..!!! Kufa na stress zako..!! Pita kushoto mwanamme anayejielewa cant say such stupid words to a woman..!! Hiyo inaonyesha just how much yu r a failure in life n in yu relationships..!!! Hahaha pole sanaaa
 
Hpana mkuu ndo yaliyoko moyoni mwangu niko fit
Sema ukianza kuponda mwanamke hivyo...itakuwa ajabu maana hata wewe umetoka kwenye hilo hilo tumbo la mwanamke unayemzungumzia hapa ambaye ni mama yako. Mungu alifahamu mwanaume hawezi ishi bila mwanamke ndio maana akatutoa kwenye ubavu wenu...na yote haya yanayoendelea duniani kuhusu sisi ni nature ambayo haiwezi kufutika...cha muhimu muishi na sisi kiakili tu ila usilaumu sana maana mwishowe utakosoa kazi ya Uumbaji ambayo Mungu aliibariki. Pia wanawake wapo wastaarabu tu ukikurupuka ndo utawaona wachungu kama shubiri. Nawasilisha
 
we unadhani nategemea tundu la mwanamke kuishi hapana, nina vitu vinavyouliwaza moyo wangu.
kama ni hayo mambo siku hizi zipo hata k artificial na unafaidin kweli kwani ni nzuri na unaliwazika haswa sio hiyo mishimo yenu inanuka kama chemba ya mortuarty mnakuja kutusumbua hapa. utawasumbua wanaume wengine ila sio mimi.
Hivi kweli unathubutu kutukana hadi tundu La mama yako kuwa linanuka! Kweli kijana kweli kweli kabisaa
 
Kwahiyo unamsaidia Mungu kukasirika juu ya hilo?
hapana ila ninajipatia maarifa tuu hapa ili nijiweke sawa akilini.
wala sina shida na nyie ila kwangu hamnipati ng'oo wala hata msijisumbue.
na kutokana na u handsome wangu nimesumbua wanawake wengi sana na wengine wametumia gharama nyingi sana kuniwekea mtego ili walipize kisasi au waone na mimi nimeumia lakini wapi wameshindwa sababu kila wakileta habari zao nikona uzushi napiga chini naopoa mashine nyingine. wala sijivunii kumiliki sababu na jua ni upuuzi bali me nakula natimiza haja zangu nasonga mbele
 
Sema ukianza kuponda mwanamke hivyo...itakuwa ajabu maana hata wewe umetoka kwenye hilo hilo tumbo la mwanamke unayemzungumzia hapa ambaye ni mama yako. Mungu alifahamu mwanaume hawezi ishi bila mwanamke ndio maana akatutoa kwenye ubavu wenu...na yote haya yanayoendelea duniani kuhusu sisi ni nature ambayo haiwezi kufutika...cha muhimu muishi na sisi kiakili tu ila usilaumu sana maana mwishowe utakosoa kazi ya Uumbaji ambayo Mungu aliibariki. Pia wanawake wapo wastaarabu tu ukikurupuka ndo utawaona wachungu kama shubiri. Nawasilisha
Ahsante mi sina shida na mtu
 
hapana ila ninajipatia maarifa tuu hapa ili nijiweke sawa akilini.
wala sina shida na nyie ila kwangu hamnipati ng'oo wala hata msijisumbue.
na kutokana na u handsome wangu nimesumbua wanawake wengi sana na wengine wametumia gharama nyingi sana kuniwekea mtego ili walipize kisasi au waone na mimi nimeumia lakini wapi wameshindwa sababu kila wakileta habari zao nikona uzushi napiga chini naopoa mashine nyingine. wala sijivunii kumiliki sababu na jua ni upuuzi bali me nakula natimiza haja zangu nasonga mbele
Yaani unajipinga na kujichanganya hapohapo... Ngoja tu nikuache kwanza
 
Hapo kwenye maneno ndio huwa nachoka kabisa,alishawahi kuniambia kuwa dada yangu ndiye aliyepata mume ila siyo mimi,nimenukuu maneno yake ,kisa hilo lijamaa lipo lipo tu kama zuzu dada mtu analipeleka peleka kama boya mdogo mtu akija kwangu anakutana na misimamo yangu basi ni tabu tu,nabakia tu nakumbuka misemo ya wamama (wanawake tulikuwa sisi)nshe gwikale eti ta mikonu ei fo,wale wa kwetu wamenielewa hapo
 
Back
Top Bottom