God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
- Thread starter
- #81
hapana siwezi miliki mwanamke bali natimiza haja zangu naondokaYaani unajipinga na kujichanganya hapohapo... Ngoja tu nikuache kwanza
hapana siwezi miliki mwanamke bali natimiza haja zangu naondokaYaani unajipinga na kujichanganya hapohapo... Ngoja tu nikuache kwanza
Warumu mbwandu.Ni kwa nini mnakua hivo sasa?
Kupitia shombo La samaki waliooza baba yako aliweka hogo lake kwa moyo ndo ukazaliwa wewe so ukitaka kutukana uke wa mwanamke anza kuutukana wa mama yako mzazi maana alivyo mama yako ndivyo walivyo wanawake wote, hadi Huyo unayemshambulia, shame on youKwani na wewe uliombwa ulete miguu yako hapa na jicomment lako chafu hapa linanuka shombo la samaki waliooza , hujaombwa we pita pembeni we vipi.
niko hapa kutimiza mahitaji ya moyo wangu wala sitishwi na wewe hata sijui sura yako ikoje
Mama yako ana nini na mimi nna nini? Au yeye ana ndoo mimi nna shimow
wewe ndio mama yangu?
nitaifatilia mkuu nashukuru kwa response, Barikiwa sanapitia hizi reference;
Matthew 27:56, 61; 28:1;
Mark 15:40, 47;16:1-19;
John 19:25; 20:1-18 .
Mark 16:9
muulize mchungaji wako swali hili "kwa nn yesu wakati wa kufufuka kwake, alimchagua maria magdalena kuwa wa kwanza katika wanafunzi kumtokea?"
Nope mama yangu si mchafu she is bright just like me, hata daddy he was a good man wala mzee asingeweza kulala na mwanamke kama wewe.Kupitia shombo La samaki waliooza baba yako aliweka hogo lake kwa moyo ndo ukazaliwa wewe so ukitaka kutukana uke wa mwanamke anza kuutukana wa mama yako mzazi maana alivyo mama yako ndivyo walivyo wanawake wote, hadi Huyo unayemshambulia, shame on you
Huyo mwanamke unaesema huna haja nae na kumtolea maneno hasi unawezaje kumwamini na kumvulia hiyo suruali yako? Akiamua kukata huo muhogo wako je?hapana siwezi miliki mwanamke bali natimiza haja zangu naondoka
Hakuna Anaeweza kukupa somo kuhusu wanawake wala binadamu yeyote kaka angu... Kumsoma mtu inahitaji elimu ya hali ya juu. Ila tambua kwamba kama unavyoshangaa wanawake na sisi tunawashangaa wanaume. Mwanamke hana complication sana... Ni wewe tu kutambua mtu ulienae na kumtreat kwa jinsi alivyo na sio kutumia mazoea. Watu tuko tofauti. Ila mi nadhani mwanamke yeyote ukimchukulia kama malkia haitakupa presha. Tunapenda mwanaume atuelewe na atutreat kama vile hakuna mwanamke mwingine duniani na atusikilize.tatizo nyie wanawake mnabadilika badilika sana tukisema tuna wadadisi ni kazi bure tuu kwani nyie ni waigizaji wazuri tuu.
ungelikua na alichonacho sidhani kama tungebishana hapa, you just go and live your life, tafuta levo zako hata sijui umetoka wapi humuMama yako ana nini na mimi nna nini? Au yeye ana ndoo mimi nna shimo
naona umetumia baadhi ya vifungu vya bibilia kumisinterprete na kujustfy mtazamo wako na wale wenye muelekeo/mrengo kama wako.(To put the record straight,mimi ni mwanaume,siongei haya kama Feminist either)Kwenye maandiko matakatifu kaandika ''enyi wanaume ishini kwa akili na wake zenu"
kweye kitabu cha Mithali ila sijui ni mstari gani kama wewe ni Mkristu.
Unajua tokea mwanzo nyie ni waajabu sana?
hakuna uhusiano wowote kulaaniwa kwake na kiungo chake cha uzazi kupewa adhabu kujustify the so called ''udhaifu'' wao/usiri wao/udadisi nk..jaribu kujenga hoja yenye mshiko..Muone hawa/eva alivyolaaniwa kizazi chake, umewahi kujiuliza kwa nini kiungo chake cha uzazi kipewe adhabu?
kitu gani?na ni nini limekufanya kuuhusianisha moja kwa moja na udhaifu wake,mara udadisi,akili nyingi,kuchunguza?Mbona unachanganya vitu vinavyojicontradict?hata sielewi hasa unasimamia nini..huyu kuna kitu alifanya na nyoka na ndio maana baada ya kumpa tunda adamu baada ya yeye kula walianza kuoneana aibu kwamba wako uchi.
baada ya porojo zote hizi,tambua kwamba,Duniani kuna wanawake na wanaume tu(achilia mbali kundi dogo lenye matatizo ya kibaiolojia)......Sifa zote ulizotaja za kundi moja(wanawake) hata wanaume wanazo ila kwa kuwa umeweka dominance factor(mwanaume kama mtawala) either unazioverlook ama umezihalalisha kuwa sawa kwa mwanaume na kitu cha kunyooshewa kidole kwa mwanamke...Kumbuka befor kabla ya kula tunda walikua uchi ila walikua hawajitambui/hawaoni haya sasa baada ya kula tunda wakajiona wako uchi??
Simple logic hawa wali sex tuu na yule mtoto wa kwanza wa adam na haya yani kaini atakua mtoto wa yule nyoka ndo maana alikua ana roho mbaya na alimuua ndugu yake abeli. na pia mtoto wa kaini yani lameki nae aliua, sasa hapo utaona jinsi iyo dhambi inavyofata vizazi hadi vizazi. hapo na kudhihiridhihirishia tuu kaini hakua mtoto halisi wa adamu bali alikua mtoto wa nyoka, na nyoka sio nyoka umuonae sasa kumbuka nyoka wa kipindi hicho alikua mwerevu kuliko viumbe wote na alikua anaongea so kutokana na sifa zake za kipekee alimpiga sound eva akamla na eva akamzaa kaini ambae hata alivyofukuzwa na Mungu adamu hakulalamika. na ninajua hakulalamika sababu sio damu yake, always damu ni nzito sana lazima angemwombea msamaha mwanae.
The Negative Portrayal of Women by Non-biblical Authors
The Portrayal of Women in the Bible and Biblical InspirationIn contrast to the Bible’s portrayal of women, as soon as you step outside of the canon of Scripture there are the most terrible generalisations written about women. Some of these terrible things are even taught by Jewish and Christian writers and philosophers.
Navumilia tuu ila angelikua wa thamani sana ningemhifandi kama navyoweka fedha zangu bank, mahali salama kabisa lakin sio mwanamke ambae Mungu keshatuambia kabisaaa alivyo. ni kula na kuondoka kwanza nshakuambia furaha yangu sio mwanamke kuna vitu muhimu sana vinanifariji nafsi yangu. furaha yangu sijaiweka kwa mwanamke.Huyo mwanamke unaesema huna haja nae na kumtolea maneno hasi unawezaje kumwamini na kumvulia hiyo suruali yako? Akiamua kukata huo muhogo wako je?
nice ila ni one in a million, wewe ndie mwanamke ulienijibu vizuri hapa ndani. sasa hapa naona ni jinsi gani wanawake bora walivyowachache ila kama kweli unampa vyote mumeo thats good. maana unafiki ni kitu kibaya sana na udanganyifu ni sifa yenu kuuHakuna Anaeweza kukupa somo kuhusu wanawake wala binadamu yeyote kaka angu... Kumsoma mtu inahitaji elimu ya hali ya juu. Ila tambua kwamba kama unavyoshangaa wanawake na sisi tunawashangaa wanaume. Mwanamke hana complication sana... Ni wewe tu kutambua mtu ulienae na kumtreat kwa jinsi alivyo na sio kutumia mazoea. Watu tuko tofauti. Ila mi nadhani mwanamke yeyote ukimchukulia kama malkia haitakupa presha. Tunapenda mwanaume atuelewe na atutreat kama vile hakuna mwanamke mwingine duniani na atusikilize.
Kama kuna kaukweli hiviKwenye maandiko matakatifu kaandika ''enyi wanaume ishini kwa akili na wake zenu"
kweye kitabu cha Mithali ila sijui ni mstari gani kama wewe ni Mkristu.
Unajua tokea mwanzo nyie ni waajabu sana?
Muone hawa/eva alivyolaaniwa kizazi chake, umewahi kujiuliza kwa nini kiungo chake cha uzazi kipewe adhabu? huyu kuna kitu alifanya na nyoka na ndio maana baada ya kumpa tunda adamu baada ya yeye kula walianza kuoneana aibu kwamba wako uchi.
Kumbuka befor kabla ya kula tunda walikua uchi ila walikua hawajitambui/hawaoni haya sasa baada ya kula tunda wakajiona wako uchi??
Simple logic hawa wali sex tuu na yule mtoto wa kwanza wa adam na haya yani kaini atakua mtoto wa yule nyoka ndo maana alikua ana roho mbaya na alimuua ndugu yake abeli. na pia mtoto wa kaini yani lameki nae aliua, sasa hapo utaona jinsi iyo dhambi inavyofata vizazi hadi vizazi. hapo na kudhihiridhihirishia tuu kaini hakua mtoto halisi wa adamu bali alikua mtoto wa nyoka, na nyoka sio nyoka umuonae sasa kumbuka nyoka wa kipindi hicho alikua mwerevu kuliko viumbe wote na alikua anaongea so kutokana na sifa zake za kipekee alimpiga sound eva akamla na eva akamzaa kaini ambae hata alivyofukuzwa na Mungu adamu hakulalamika. na ninajua hakulalamika sababu sio damu yake, always damu ni nzito sana lazima angemwombea msamaha mwanae.
Wewe usiwe vuguvugu... Amua kua baridi au moto. Kama unaona mwanamke hana thamani kwako mpotezee kabisa hata shimo lake usihitaji. Vinginevo siku moja utakuta hiyo kengele yako haipoNavumilia tuu ila angelikua wa thamani sana ningemhifandi kama navyoweka fedha zangu bank, mahali salama kabisa lakin sio mwanamke ambae Mungu keshatuambia kabisaaa alivyo. ni kula na kuondoka kwanza nshakuambia furaha yangu sio mwanamke kuna vitu muhimu sana vinanifariji nafsi yangu. furaha yangu sijaiweka kwa mwanamke.
bali ni asilimia kidogo sana ndio maana huwa nakula naondoka
hayo nayo ni mawazo yakonaona umetumia baadhi ya vifungu vya bibilia kumisinterprete na kujustfy mtazamo wako na wale wenye muelekeo/mrengo kama wako.(To put the record straight,mimi ni mwanaume,siongei haya kama Feminist either)
hakuna uhusiano wowote kulaaniwa kwake na kiungo chake cha uzazi kupewa adhabu kujustify the so called ''udhaifu'' wao/usiri wao/udadisi nk..jaribu kujenga hoja yenye mshiko..
kitu gani?na ni nini limekufanya kuuhusianisha moja kwa moja na udhaifu wake,mara udadisi,akili nyingi,kuchunguza?Mbona unachanganya vitu vinavyojicontradict?hata sielewi hasa unasimamia nini..
baada ya porojo zote hizi,tambua kwamba,Duniani kuna wanawake na wanaume tu(achilia mbali kundi dogo lenye matatizo ya kibaiolojia)......Sifa zote ulizotaja za kundi moja(wanawake) hata wanaume wanazo ila kwa kuwa umeweka dominance factor(mwanaume kama mtawala) either unazioverlook ama umezihalalisha kuwa sawa kwa mwanaume na kitu cha kunyooshewa kidole kwa mwanamke...
tunaweza kutumia bibilia hiyohiyo kuonesha mwanamke pia kama mtu jasiri,mwenye akili,kiongozi na sifa nyingi chanya.
The Portrayal of Women in the Bible and Biblical Inspiration
Nimetoka huko huko ulikoanzia wewe Mkuu, acha dharau kwa wanawake kwa kuwatukana matusi makubwa kiasi hicho! Jiheshimu ili uheshimiweungelikua na alichonacho sidhani kama tungebishana hapa, you just go and live your life, tafuta levo zako hata sijui umetoka wapi humu
Wewe sio mtu mzuri mimi nimesoma psychology asilimia kubwa maneno anayotamka/anayoandika mtu ndio anayofanya na ndio yanayotawala akili zake inaelekea wewe mwanaume akikuacha kama nafsi yako haijaridhia utammaliza.Wewe usiwe vuguvugu... Amua kua baridi au moto. Kama unaona mwanamke hana thamani kwako mpotezee kabisa hata shimo lake usihitaji. Vinginevo siku moja utakuta hiyo kengele yako haipo
Mkuu umeichanganya maandiko na mawazo ya kibinadamu. Biblia haikusema ile tunda ilikuwa tendo la ndoa bali ni tunda halisi km ilivyo matunda mengineKwenye maandiko matakatifu kaandika ''enyi wanaume ishini kwa akili na wake zenu"