Hivi wanaume kama huyu wanapatikana wapi?

Hivi wanaume kama huyu wanapatikana wapi?

Tupo bana sema unajitia uenda wazimu tu kujifanya unawataka wa kwenye series
 
Siku nikimpata mwanaume kama huyu wallai simwachi ng'odo nitampa kila kitu atakacho haijalishi nimeolewa au sijaolewa hivi wanaume kama huyu wapatikana wapi ajuae aniambie niwafuate ukoo waliko wakaka kama huyu jamani.

View attachment 509649


wengi wao huwa Jogoo hapandi mtungi.. wewe mtafute tu si unafata Rangi hiyo na muonekano.
ndani ya 6 kwa 6 hamna kitu
 
Njoo buguruni kuna daladala zinaelekea mji anao kaa jamaa,ukifika ulizia baunsa kiroboto bingwa la kulawiti utapelekwa hadi chumbani kwake.
 
muna love ndo naniii halafu mi nimeolewaaa sijazeka nyumbaniii
mmh...mumeo anakazi. saikolojia yako imeharibika!!
kwahiyo akitaka kukula jicho chongo poa....akitaka kukula na kutema wazungu weupe wanaofoka foka mdomoni kwako poa...akitaka utume salamu baada ya ukuni kutoka zizini poa tu.
 
Haijalishi umeolewa au haujaolewa hata ile kitu akitaka utampa Tu! Halafu mtu ananishauri kuoa karne Hii.....
 
Embu weka picha yako tukuone mrs maana ukute ww mwenyewe tupa tupa hlf unataka wazur.
 
Back
Top Bottom