mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 770
- 451
Yaaan balaa wakati tupo kabisa vijana wa haja mnatupotezeaHizi series ndio maana zinapendwa sana kumbe watu wako na yao
Yaaan balaa wakati tupo kabisa vijana wa haja mnatupotezeaHizi series ndio maana zinapendwa sana kumbe watu wako na yao
Itabidi tuanze kuwa real humu na sio kuwa fake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hawa wa kwenye series wana tupiga gape sanaHizi series ndio maana zinapendwa sana kumbe watu wako na yao
Siku nikimpata mwanaume kama huyu wallai simwachi ng'odo nitampa kila kitu atakacho haijalishi nimeolewa au sijaolewa hivi wanaume kama huyu wapatikana wapi ajuae aniambie niwafuate ukoo waliko wakaka kama huyu jamani.
View attachment 509649
Yupo kama mashoga wa marekaniSiku nikimpata mwanaume kama huyu wallai simwachi ng'odo nitampa kila kitu atakacho haijalishi nimeolewa au sijaolewa hivi wanaume kama huyu wapatikana wapi ajuae aniambie niwafuate ukoo waliko wakaka kama huyu jamani.
View attachment 509649