calisa
Member
- May 8, 2017
- 35
- 13
Mmmh! We unafel kwan mi uxhaniona nikojee!!![emoji8] [emoji8]Siku nikimpata mwanaume kama huyu wallai simwachi ng'odo nitampa kila kitu atakacho haijalishi nimeolewa au sijaolewa hivi wanaume kama huyu wapatikana wapi ajuae aniambie niwafuate ukoo waliko wakaka kama huyu jamani.
View attachment 509649