Hivi wanaume kama huyu wanapatikana wapi?

Hivi wanaume kama huyu wanapatikana wapi?

Ona sasa! Munaojihangaisha kuwapa wanawake kila wanachotaka, muwape gari, Nyumba, umtoe out, umpeleke Dubai, umdekeze adeke, hayo yote kwa mwanamke ni upumbafu tupu. Ni kupoteza mda kuhangaika na hiki kiumbe.... Mungu kupitia watu wake hapa duniani alitupatia mifano mingi namna ya kuwatreat hawa viumbe, lakini sisi wenyewe twajizika na twajitafutia matatizo kugawana nao majukumu... Hawa viumbe jamani wala hawaeleweki wanataka nini.. Wanaosema ni PESA, ona sasa....
 
aiiiii kweli we ndo umenisaidia nimemgugo kweli jina lake ndo ilo 😀😀😀😀😀 uwwiiii ila wikipedia wameandika mama yake mgiriki baba yake mturuki sio mmexico kumbe amechanganya ndo maana mzuri. mungu wangu uyu kaka mzuri kila kitu nyusi lips sexy eyes ana dimpoz na mwili mzuri hivi kwanini mungu hajanikutanisha na uyu kwanza. asante mwanya kunipa jina lake
 
kuna mmoja namfahamu yupo mitaa ya kinondoni.muonekano wake ni kama huyo wa kwako ktk.picha.

tatizo lake kubwa ni "bwabwa",yaani anapumbuliwa na wanaume mamande ya mjini.vp nikuanganishe nae?.
sitaki nimempata orijino nimemgugo hana dalili za ushoga yuko normal
 
watu wana wivu eti shoga nimegugo kaka wa watu yuko kawaida muache wivu
 
Hii pia ni kiki
Ukizingatia upo humu since 2017 april
51c7fb71615cf7be21e87164fdacbe43.jpg

kibaya ni kwamba umeingia chaka maana humu kiki za hivi hatutoagi,
JENGA HOJA UHESHIMIKE, OTHWISE BAKI INSTAGRAM& FACEBOOK.
 
Wako India hao. Kuna sehemu inaitwa Ghaziabhad. Ila unawakuta wachafuuuu wala hawavutii, hapo ujue kagharamiwa kusafishwa huyo.
 
aiiiii kweli we ndo umenisaidia nimemgugo kweli jina lake ndo ilo 😀😀😀😀😀 uwwiiii ila wikipedia wameandika mama yake mgiriki baba yake mturuki sio mmexico kumbe amechanganya ndo maana mzuri. mungu wangu uyu kaka mzuri kila kitu nyusi lips sexy eyes ana dimpoz na mwili mzuri hivi kwanini mungu hajanikutanisha na uyu kwanza. asante mwanya kunipa jina lake

We hangaika na wabantu wenzako hawa tuwaachie wenyewe
 
watu wana wivu eti shoga nimegugo kaka wa watu yuko kawaida muache wivu

Halafu wenyewe wanasema wanaume hawaoneani wivu idadi kubwa ya wachangiaji unaona imeona wivu Mara tigo Mara legelege. Hapo ndio unaona binadamu tunafanana awe mwanaume au mwanamke ila mwanamke akifanya ndio kosa.
 
Back
Top Bottom