nikubhilikile uje
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 264
- 243
Nenda kariakoo mtaa wa Kongo wanauza maduka ya pikipiki redio
muna love ndo naniii halafu mi nimeolewaaa sijazeka nyumbaniiiHuna Tofauti na Munalove huko Instagram anakomalia Kupata Wanaume Type Hiyo huku anazeeka Nyumbani
mbona mwataja sehem sizifahamu kimboka na kwa ambiance ndo wapi uko?Bora tu umeamua kufunguka.....wanapatikana kwa wingi sana Kimboka na Kwa Ambiance.
sijawahi waona kariakoooNenda kariakoo mtaa wa Kongo wanauza maduka ya pikipiki redio
Hama huko kijijini koromije uje mjini utazijua sehemu hizo nilizotajambona mwataja sehem sizifahamu kimboka na kwa ambiance ndo wapi uko?
wakaka wa hispania ndo wako wazuriii kama uyo kaka?Hakuna wa kukulaumu kadada, nenda Hispania utawapata wengi tu hao.
So mbn huko chini panawasha Au Mmeo Lemi Ongala au Harmorapamuna love ndo naniii halafu mi nimeolewaaa sijazeka nyumbaniii
mwanaume hapimwi kwa bikra. mwanamke ndo ajipime kama ni bikra. huyo HB anastahili brand new. used wasubiri zoazoa.kwani uyo kaka bikra?
thubutuuu uwe kama uyo kaka watu wasingeenda chooniiiNipo mimi
usimtishe. wanataka handsome boys kwa hiyo jipange tusikiliza wengine hawawezi kusimamisha aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani ana nini cha ajabuthubutuuu uwe kama uyo kaka watu wasingeenda chooniii
mimi ni mwanamke na sitaki mwanaume mzuri nataka anayeweza kunusugua vizuri na mwenye mawe ya kueleweka hawa wapaka wanja wapite hiviusimtishe. wanataka handsome boys kwa hiyo jipange tu