Hivi wanaume kama huyu wanapatikana wapi?

Hivi wanaume kama huyu wanapatikana wapi?

Ewe Malkia Elizabeth tusamehe bure maana "yai " ulilotuachia linazid kuwa na ugwadu mwingi kadri ya siku zinavyosonga, Kama Vip Fanya mpango uke uchukue "yai" lako
So very handsome
 
Siku nikimpata mwanaume kama huyu wallai simwachi ng'odo nitampa kila kitu atakacho haijalishi nimeolewa au sijaolewa hivi wanaume kama huyu wapatikana wapi ajuae aniambie niwafuate ukoo waliko wakaka kama huyu jamani.

View attachment 509649
Usikute huyu romana ni dume,,,anawachora tuu[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Nenda spain au mekiko, ukiwakosa Bila shaka watakua wamehamia Tandare
 
Ni pm nikumbe link ya kujiunga grp la whatsaap la majuu hasa wachez movie na series lazma utampata... Kinyume na hapo utaishia kuwaona kwenye kideo
majuu nchi gani haina jina?
 
We mwenyewe Sura ya Baba halaf unachagua chagua ..upuuzi ntupu
 
Nyie ndio mkiona ngozi nyeupe basi vyupi vinalowana tuu,kwahiyo hata akitaka kufumua marinda unamwachia kbs ayafumue,so sad kwakweli
 
Back
Top Bottom