Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
utampa mkundungu
Siku nikimpata mwanaume kama huyu wallai simwachi ng'odo nitampa kila kitu atakacho haijalishi nimeolewa au sijaolewa hivi wanaume kama huyu wapatikana wapi ajuae aniambie niwafuate ukoo waliko wakaka kama huyu jamani.
View attachment 509649
Kama mimi ninavyoipenda rangi yako ya far east!Mbona yuko kawaida tu ,labda umependea rangi hapo
.Mmmh jf kibok kabisa
Huachiiiii mambo ykoooooKama mimi ninavyoipenda rangi yako ya far east!
Shangazi wewe ni noma!
Utamkuta Mexico Şükrü Özyıldız (@SukruOzyildiz) | TwitterSiku nikimpata mwanaume kama huyu wallai simwachi ng'odo nitampa kila kitu atakacho haijalishi nimeolewa au sijaolewa hivi wanaume kama huyu wapatikana wapi ajuae aniambie niwafuate ukoo waliko wakaka kama huyu jamani.
View attachment 509649
Mimi nakutaka wewe ..." Ni Improve Genes za huku kwetu Namtumbo songea [emoji4]Hahaha.anifate pm nimuunganishe kwa bro wangu waelewane ,tena hb kuliko huyo alomueka hapo
tatizo hawatakagi watu kama weweSiku nikimpata mwanaume kama huyu wallai simwachi ng'odo nitampa kila kitu atakacho haijalishi nimeolewa au sijaolewa hivi wanaume kama huyu wapatikana wapi ajuae aniambie niwafuate ukoo waliko wakaka kama huyu jamani.
View attachment 509649
Hmmm!!ntakupa dada ynguMimi nakutaka wewe ..." Ni Improve Genes za huku kwetu Namtumbo songea [emoji4]
Na yeye anafanana na Arabian queen... [emoji15]Hmmm!!ntakupa dada yngu
Pacha wangu huyo apo dp,hatuna tofaut hata kdgNa yeye anafanana na Arabian queen... [emoji15]
Kwa nin mjombaShangazi wewe ni noma!
Kweli, uko tayari kusaliti ndoa yako? AiseeeSiku nikimpata mwanaume kama huyu wallai simwachi ng'odo nitampa kila kitu atakacho haijalishi nimeolewa au sijaolewa hivi wanaume kama huyu wapatikana wapi ajuae aniambie niwafuate ukoo waliko wakaka kama huyu jamani.
View attachment 509649