Hivi wanajeshi wa kike wa JWTZ wana kazi gani?

Ngoja siku mpate General wa kike ndo mtaheshimu hiyo jinsia......
 
Huyo yuko kamili gado.
 
Attachments

  • 1468835516626.jpg
    1468835516626.jpg
    56.4 KB · Views: 179
Naskia wanajesh wa kike huwa Ni wapishi..!!
Acha kupotosha uma!!kuna vitengo vingi mle!!kuna secretar!!kuna makarani!! Kuna madoctory!na shughuli nyinginyingi!usikaririshwe ukaamini kama unavyoambiwa na hao raia wenzako!!
 
Kuna kipindi nipo kwenye daladala kuelekea mjini, kufika maeneo fulani hivi wakapanda akina Dada ilikua karibu na kambi ya jeshi, basi katika kutoa nauli konda siakawachereweshea kuwarudia chenji yao wakati wanashuka kinda akajifanya kachanganyikiwa akawadai tena nauli na wameshamlipa na chenji wanadai.
Konda alivobururwa na akina dada huwezi amini wakati tunaendelea na safari stori zikawa hizo dereva anamwambia konda wake wangekuuwa wale itakua ni wanajeshi we kila dada mdharau. Kusoma hujui hata picha huoni? mazingira waliochokuliwa ni dhahiri walikuwa wanajeshi kweli.
 
Wakati niko sekondari miaka hiyo niliwahi kufundishwa na mwalimu wa geography aliyewahi kufikia cheo cha kapteni.Nakumbuka alipenda kutusimulia maisha yake akiwa afisa wa jwtz,,,,na aliwahi kutuambia kuwa kazi ya wanajeshi wanawake ni kuwapa morali wanaume ambao ndo wapiganaji kwa hiyo huwa hawawi katika platuni/vikundi vya kupigana.
 
ufafanuzi kidogo wa morali
 
eti morali umenikumbusha zamani enzi za primari hatukubali kwenda kucheza mpira na timu ya jirani mpaka magels wawepo, kwa kuongeza morali, ukisikia tu weweeeeee usituumizie basi jamaa mori linapanda ile mbaya.
Kweli mkuu wanaongeza morali
 
Na kwa uzoefu wa jkt ni kuwa mwanamke mkiwa rank/daraja moja yeye anatakiwa akupigie saluti ambayo kama askari akiwa mkubwa kwako unafunga/mguu sawa ukiwa umebana mikono kama akikujibu unafungua/mguu upande na kuachia mikono.
 
Acha kupotosha uma!!kuna vitengo vingi mle!!kuna secretar!!kuna makarani!! Kuna madoctory!na shughuli nyinginyingi!usikaririshwe ukaamini kama unavyoambiwa na hao raia wenzako!!
Hayo nayafaham miaka mingi Tu,..anyway kwahiyo wew sio raia? Unaish angan?
 
Na kwa uzoefu wa jkt ni kuwa mwanamke mkiwa rank/daraja moja yeye anatakiwa akupigie saluti ambayo kama askari akiwa mkubwa kwako unafunga/mguu sawa ukiwa umebana mikono kama akikujibu unafungua/mguu upande na kuachia mikono.
duh kama ni hivo,slavery mode of production
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom