Hivi wanajeshi wa kike wa JWTZ wana kazi gani?

Hayo nayafaham miaka mingi Tu,..anyway kwahiyo wew sio raia? Unaish angan?
haya baba yaishe huku nadhani hainabfaida ya kubishana!!kama vipi potezea!!haina haja ya ligi!!kwani kuna dalili mimi nikuogope au wewe uniogope baada ya kujuana!!hivyo tuendelee kuheshimiana tuu mkuu!!
 
f8ab2f1be9c4b3a90e80e5f8fa4d7bd6.jpg
Namuona afande manyota hapo shingo ishahama...
 
Ukiwa na mawazo potofu yaliyojaa pendeleo na utawala wa mfumo dume unaweza kuona kama hawana kazi
Mimi si msemaji wa Jeshi wala siyo mmoja watoa habari idaya ya mawasiliano ya Jeshi.
Ukitaka kuelelewa vizuri nenda Upanga ulizia ofisi yao waombe wakupeleke idara ya habari na mawasiliano kisha waulize swali lako utapatiwa majibu sahihi zaidi
 
haya baba yaishe huku nadhani hainabfaida ya kubishana!!kama vipi potezea!!haina haja ya ligi!!kwani kuna dalili mimi nikuogope au wewe uniogope baada ya kujuana!!hivyo tuendelee kuheshimiana tuu mkuu!!
Teh teh teh amani Sana mkuu, I appreciate that....!!
 
kuwa mwanajeshi hapa TZ ni raha sana wengine mpaka wanastaafu jeshi hawajui hata uwanja wa vita unafananaje.ila kweli inawezekana hao wengine watakuwa wanapangiwa shughuli nyingine
Hujui
 
Kazi wanayo, ni wanajeshi... kwani wewe wanajeshi wanaume unaowaona wote wajua kazi zao, unadhani wote wameajiriwa ili wakapigane vita..?
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom