Hivi wanajeshi wa kike wa JWTZ wana kazi gani?

dunia nchi ambazo wanajeshi wanawake wanawake wanaoenda vitani hazizid mbili coz kamulize madaktar .
 
f8ab2f1be9c4b3a90e80e5f8fa4d7bd6.jpg
Kama huyo wa mbele soft ivyoo!!!!! Hakuna mjeda apo....
 
Jeshi lolote duniani lazima iwe na nguvu kubwa mbili,
1.combat list
2.Admin list

Ktk dunia ya leo mwanamke anaweza kua ktk jukumu lolote lifanywalo na mwanaume.
1.Nadhani ktk Jwtz wapo marubani,madereva,rada,radio operators,gunnery, wanawake.
 
Mambo mengine ni siri ya Jeshi, ni vigumu kupekenyua na kujua mambo ya Jeshi na pia sio sahihi maana mjenga Nchi ndie mbomoaji pia.
 
Si tabia nzuri kudiscuss wanamama wanajeshi ambao ni mama zetu haswa ukitafakari! sababu kunawengine ni watu wazima ambao ndio mama zetu waliotufanya mpaka tumepata elimu ya kutufikisha hapa.
 
Wanajeshi wa kike uwa wanaenda sehemu za vita lakini uwa hawapangwi Frontline, uwa wanapewa kazi maalum, kutibu majeruhi kama ni manesi au madr, kuoperate information gathering centers etc
 
Hata kwenye sherehe anatafutwa jogoo achinjwe.

Women are too precious to be sacrificed to die in the frontline.
 
Mr Password kwahiyo huwa unajiuliza:
- Wabunge wa kike wana kazi gani?
- Madaktari wa kike wana kazi gani?
- Majaji, wahandisi na wahasibu wa kike wana
kazi gani?
- Marais wa kike wana kazi gani?
- BAVICHA wa kike wana kazi gani? nk nk

Wewe unadhani kwenye uwanja wa vita wanarushianaga makonde na mateke? Hujui kule kunatumika kisomo. Hujui kuwa wanawake kwa shabaha ndiyo wenyewe? Ni bull mbele kwa mbele. Kwa upelelezi ndiyo usiombee hasa kwa mijitu ya aina yako yanayovutiwa na jinsia hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom