Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
- Thread starter
- #21
miss korongoni. Why unawaza udenda, wife mjamzito?
Dah! umejuaje? we "chiboko"
miss korongoni. Why unawaza udenda, wife mjamzito?
Hahahaha!
Mnataja taja majina tuuu tena kwa mistari isiyo na vina source:Afande Sele lol!
PakaJimmy shikamoo! Afu useme sijakutaja.
Kwa nini hamnipendi! nikichangia mada mnanitoa nduki! ni oppose motion ndio balaa! jamani basi kama nimewakosea naomba poo!
karibu sana. mimi nakupenda. mia
Mkuu LiverpoolFC
Mkuu LiverpoolFC
Nimeamua kuja C C leo tu ili kufuatilia na kujihakikishia kwa macho yangu jinsi mwenzetu Filipo alivyoshikwa mapembe na wanawake hawa wapya, ukiacha wale 13 wa Manyara na Singida alikoanzia kazi.
Kwa nini hamnipendi! nikichangia mada mnanitoa nduki! ni oppose motion ndio balaa! jamani basi kama nimewakosea naomba poo!
mishikaki ya swala inapatikana kimara kwa hakuna Mungu. twende lini?. mia"Oho hooooo! hata mi huwa nakukubali meeen! vp mambo? weekend tukale wapi mishkaki ya swala na myai ya korongo?
Shida yako ni moja tu.
Wewe hutaki kutajataja majina ya watu wa chit-chat. Hilo ni kosa kubwa kiufundi.
Hamna cha poo wala pooh! Kwanza nakudai salamu za besdei wewe.
mishikaki ya swala inapatikana kimara kwa hakuna Mungu. twende lini?. mia