Hivi wana chit chat nimewakosea nini?

Wee nawee!
Unatuona sie vichwapanzi eti? Hapa kwenye uzi huu hauna chochote kilichokuleta, zaidi ya kukurupuka ulipoona hilo neno @poo !
Danganya wasokujua!

Ee phewwww! Judgement umenisaidia! sasa at least napumua!
 
Wee nawee!
Unatuona sie vichwapanzi eti? Hapa kwenye uzi huu hauna chochote kilichokuleta, zaidi ya kukurupuka ulipoona hilo neno @poo !
Danganya wasokujua!

wewe unanijua ama unanifahamu? Kwani Poo ni jina la nani? Wewe ndo unakurupuka sasa. Mie kuku wangu simuwindi na manati. Wivu tu, lione. Asipendwe mwanaume mwenzio!
 
Vijiungurumo kama hivi, sivitofautishi na vile vya Tariq Aziz, sem-sem!
We jitoe fahamu tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom