Hivi wana chit chat nimewakosea nini?

Hivi wana chit chat nimewakosea nini?

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Kwa nini hamnipendi! nikichangia mada mnanitoa nduki! ni oppose motion ndio balaa! jamani basi kama nimewakosea naomba poo!
 
Hamna cha poo wala pooh! Kwanza nakudai salamu za besdei wewe.
 
Shida yako ni moja tu.
Wewe hutaki kutajataja majina ya watu wa chit-chat. Hilo ni kosa kubwa kiufundi.
 
Shida yako ni moja tu.
Wewe hutaki kutajataja majina ya watu wa chit-chat. Hilo ni kosa kubwa kiufundi.
Hahahaha!


Mnataja taja majina tuuu tena kwa mistari isiyo na vina source:Afande Sele lol!

PakaJimmy shikamoo! Afu useme sijakutaja.
 
Last edited by a moderator:
Shida yako ni moja tu.
Wewe hutaki kutajataja majina ya watu wa chit-chat. Hilo ni kosa kubwa kiufundi.

pj unatafuta nini huku? Sasa kama hawataji inakuwaje wanamtoa nduki (source yeye mwenyewe). Jina lenyewe kama kifanyio, nikikutwa na hazbend nalitaja si atajua nilikywa naagizisha?
 
Shida yako ni moja tu.
Wewe hutaki kutajataja majina ya watu wa chit-chat. Hilo ni kosa kubwa kiufundi.

PAKA JIMMY EEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! Haya sema jingine!
 
pj unatafuta nini huku?
Sasa kama hawataji inakuwaje wanamtoa nduki (source yeye mwenyewe). Jina
lenyewe kama kifanyio, nikikutwa na hazbend nalitaja si atajua nilikywa
naagizisha?

Ahaaaa! nshajua! nafuta id yangu nakuja na "Slow motion" vipi hiyo inalipa?
 
pj unatafuta nini huku? Sasa kama hawataji inakuwaje wanamtoa nduki (source yeye mwenyewe). Jina lenyewe kama kifanyio, nikikutwa na hazbend nalitaja si atajua nilikywa naagizisha?
Bwanako si atajua UNAJALI!
Au huwa unamfanya ajiulize "TUKO WANGAPI!"
 
hah hah hah hah! Wivu tu! Lol...
Wivu sina, ila roho inaniuma kuwateka marejesho, sweetlady na sasa unamtaka na Smile, kisa eti kwaajili ya pesa zako. Ungejua unapokuwa safarini huwa wanasema kuwa wamekuganda kwasababu mzee unamwaga mafao kama njugu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom