Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,298
Naomba kujua iwapo Wamasai hawaugui malaria. Nauliza hili kutokana na kuwaona walinzi wengi wa Kimasai wakiwa katika mavazi yao ya kiutamaduni ambayo huwaacha wakiwa na sehemu kubwa mwilini iliyokuwa exposed kwa mashambulizi ya mbu. Je, huwa wanajipaka dawa ya kufukuza mbu au hawashikwi na malaria?! Ahsanteni.