Hivi Wamasai huwa hawaugui malaria?!

Hivi Wamasai huwa hawaugui malaria?!

Malaria haimo ktk orodha yako,kwa hiyo kuna kitu cha kutafuta zaidi ili kujua kwa nini malaria sio tatizo kubwa kwao.

Mkuu, Walau hapa kuna picha inayoonekana ya kuvutia utafiti zaidi; iwapo watu waliokaa nao hawataji malaria kama moja ya magonjwa yanayowasumbua kwa wingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom