Hivi walokole hamuwezi kuabudu kimya kimya!??

Hivi walokole hamuwezi kuabudu kimya kimya!??

Ukikaa karibu na msikiti pia ujiandae kukatizwa usingizi wako kila siku asubuhi.
Duuuh....Mimi imenibidi nizoeee tu...ikifika sakumi wanaaza kuimba KILA siku...masoezi ya kwaya...
Ikifika ijumaa satatu mkesha.wanaimba mpaka sasita usiku..
Jumapili.kwanzia sanne Ni ibada wataimba na kuomba Hadi sa sa Saba mchanaa....alafu wataanza tena sakumi jioni...

Nyimbo zao nimezikariri ....nazijua vizuri tu....tumelalamika tumeona tukubali Hali.
 
11Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Nenda ukasimame mlimani, mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu.”

Basi, Mwenyezi-Mungu akapita na kuuvumisha upepo mkali ambao uliporomosha milima na kuvunja miamba. Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika upepo huo.

Upepo ukapita, kukawa na tetemeko la ardhi. Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika tetemeko la ardhi. 12Tetemeko likapita, kukawa na moto.

Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika moto huo.

Baada ya moto, pakatokea sauti ndogo, tulivu.

13Basi, Elia aliposikia sauti hiyo, alijifunika uso kwa joho lake, akatoka na kusimama mlangoni mwa pango. Hapo, akasikia sauti,

“Elia! Unafanya nini hapa?”

______
Tunaweza kuongea na Mungu sehemu tulivu na sio kelele.
Kuna ndugu yangu alikosana na Shangazi yake aliekua anaiishi nae kisa maombi...
Alikua anasali kwannguvu anasema Mungu sijui Yesu amuoneshe Wachawi wanyumba hiyo wanaofanya asifanikiwe...

Akisema wapo humu humu...anioneshe TU.. huyo shangazi akawa anasema anaitwa mchawi.....ikawa zogo kuubwa sanaaa....Yaaani So sad...

Ila.kama wakisali.kwa kupiga kelele ndo.huyo Mungu wao anawasikia..waendelee tuuu......Kila mtu na style yake ya kuabudu
 
Achana na hilo tuu mkuu na kunengua kiuno veep mkuu hii hal ww unaichukulia veep
 
Usingizi wa kuelekea asubuhi ukikatika huwa haurudi tena
Mkuu kufananisha kero za adhana za msikitini na makanisa ya walokole ni vitu viwili tofauti sana. Msikiti ina ratiba maalumu na si zaidi ya dakika 5 au 10 tu.
 
Ukikaa karibu na msikiti pia ujiandae kukatizwa usingizi wako kila siku asubuhi.
Mkuu...Mimi naamka sakumi na moja.kila siku...Wala hao wa adhaba hawanikatishi usingizi wangu hata kidogo.....

Walokole wangefanya kwa muda mchache ingekuwa fresh...Ila Sasa wanaimba sa tatu Hadi sasita usiku....Ijumaaa sijui mkesha....
Siku za wiki...mazoezi ya kwaya kwanzia sa kumi...Ni kuimba TU...yaaani Duuuh...

Tunavumiliana tu
 
Nani kakukataza kusema?
Tatizo nyie mnafujo sana tukiwashitaki mnaleta fujo kama lakichinja nyama povu mlilitoa kama lote sembuse hili la kutupigia kelele

Mungu wetu sisi wa kristo ametufundisha ustarabu nyie allah amewafundisha kufia dini
 
Alafu adhana Haina gitaa Wala Sijui kinanda.....Sasa Hawa ndungu zetu...wakiwasha vitaa vyao vya muziki...mnakuwa wapole TU mnawasikiliza....Hadi wamalize....

Hapo hajashuka speaker mchungazi kutoa neno....
 
Tatizo nyie mnafujo sana tukiwashitaki mnaleta fujo kama lakichinja nyama povu mlilitoa kama lote sembuse hili kllakutupigia kelele

Mungu wetu sisi wa kristo ametufundisha ustarabu nyie allah amewafundisha kufia dini
Sawa.....Wewe fanya ufundhishavyo na Dini yako....
 
Duuuh....Mimi imenibidi nizoeee tu...ikifika sakumi wanaaza kuimba KILA siku...masoezi ya kwaya...
Ikifika ijumaa satatu mkesha.wanaimba mpaka sasita usiku..
Jumapili.kwanzia sanne Ni ibada wataimba na kuomba Hadi sa sa Saba mchanaa....alafu wataanza tena sakumi jioni...

Nyimbo zao nimezikariri ....nazijua vizuri tu....tumelalamika tumeona tukubali Hali.
Wow,

Naomba niimbieoja
 
Wanapoboa zaidi: unakuta kabisa linawatu 10 na ni dogo Sana ila sauti waliyofunga unaweza ukafikiri ni mkutano. Na kinachoboa wakiwa wanahubiri, kuimba au maombi wanapiga kelele Kama zote, ila wakitaka kuongea mambo yao wenyewe wanapunguza sauti [emoji848][emoji848][emoji848]

Ingawa kwa mtu anayeishi pembezoni mwa kanisa sidhani Kama ni sahihi kulalamika kwa sababu hata wapunguze sauti lazima wewe ikusumbue tu, unachotakiwa ni kujilaumu tu kuwa karibu na kanisa kwa sababu hakuna namna.

Swala la mikesha nafikiri serikali ndiyo inatakiwa kusolve. Watu waruhusiwe mpaka saa tatu au saa nne lakini baada ya hapo wanaweza kuendelea na mkesha Ila wasitumie sound system ili kuondoa kelele tu.

This is complex problem ambalo linahitaji makubaliano kati ya serikali, wananchi na kanisa
 
Nawaona walokole hapa wanatuona wote tunaolalamika ni waisilam au ni watu tusiobna dini yoyote na tunachukia kusikiliza maneno ya Mungu. NO wengi hapa ni wakristo na tuna dini zetu ambazo zinaustaarabu katika ibada. Lakini pia tuna ratiba zetu za Mambo ya ibada na Mambo mengine.
 
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani

Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana

Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.

Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.

Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzima.
Walioleta hizi dini wanasali kimya kimya, tulioletewa hizi dini tunapiga kelele usiku kucha uku ushwahilini, ukienda maeneo ya wenye nazo huwezi piga kelele usiku kucha. Hizo kelele ni uku uswahilini tu.
 
Mimi mnisaidie ni wapi kwa hapa Dar nitapata ule mchele ambao nikiupika unapata ile harufu ya wali ukiwa jikon

Yaaan michele ya siku hizi haina harufu kabisa ..

Au ni sehem nazonunua mimi tu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah ila wewe lol, nunua mchele wa mbeya super.
 
Hama ilo eneo ukaishi sehemu nyingne. Acha watu waabudu imani zao kwa namna yao.
 
Ila kelele za hawara wako anapougulia utamu wa ukuni unaona sawa tu sie tukuvumilie[emoji16][emoji16][emoji16] malipo ni hapa hapa braza!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi wee una nini lakini?
 
Back
Top Bottom