dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,348
HahahahaHilo pepo litatoka tu!
HahahahaHilo pepo litatoka tu!
Kapime kwanza corona mkuuMimi mnisaidie ni wapi kwa hapa Dar nitapata ule mchele ambao nikiupika unapata ile harufu ya wali ukiwa jikon
Yaaan michele ya siku hizi haina harufu kabisa ..
Au ni sehem nazonunua mimi tu??
Mkuu kufananisha kero za adhana za msikitini na makanisa ya walokole ni vitu viwili tofauti sana. Msikiti ina ratiba maalumu na si zaidi ya dakika 5 au 10 tu.Misikiti iko umbali kutoka kwenye makazi ya watu? Hata ikiwa mbali, mmefu ga loud speaker, wengine wanatumia loud speaker zenu kugongana kimoja chabasubuhi
Nipo kwenye nyumba yangu mkuu nitahamaje sasa na nimesimika mjengoHapo ukute umepanga si uhame usiwakoseshe wenzio mbingu kisa wewe
Yani hapa kitaa kuanzia ijumaa Hadi j2 zinaporomoshwa base za live band Hadi kero yani utulivu unaanza kupatikana j3Mkuu tuko jirani nini? Yaani mpaka muda huu ni hakulaliki full fujo.
Hapa nilipo kila ijumaa wanakesha.
Ila kelele za hawara wako anapougulia utamu wa ukuni unaona sawa tu sie tukuvumilie😁😁😁 malipo ni hapa hapa braza!Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani
Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana
Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.
Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.
Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzima.
Adhana dakika ngapi? Nyie mnaanza saa 12 jioni hadi kesho yake asubuhi na mnaweza kuwa watatu ila kelele zake kama miatatu hvKunya anye kuku akinya Bata kaharisha,
Ile azana ya saa 11 mnasema inawaamsha kama alarm vile ila hii ya walokole inawasumbua.
Bado hpo mna mikesha yenu ya kila ijumaa waislam tunakesha? Kwa siku tuna swala 5 na kila moja haizidi dk 10 acha ushabiki jadili kwa kutumia akili mnakeraaaaAdhana dakika ngapi? Nyie mnaanza saa 12 jioni hadi kesho yake asubuhi na mnaweza kuwa watatu ila kelele zake kama miatatu hv
We mtoa maada labda wakati huo unakuta huna usingizi tu,, usiwapangie watu muda wa kumwabudu Mungu au staili ya kuabudu, lazima watu wakeshe maana nimaagizo ya Mungu, Kesheni mkiomba maana hamujui siku wala saa yakuja mwana wa adamu.Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani
Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana
Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.
Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.
Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzima.
Jiunge nao tu ndugu yangu[emoji1787]Duuuh....Mimi imenibidi nizoeee tu...ikifika sakumi wanaaza kuimba KILA siku...masoezi ya kwaya...
Ikifika ijumaa satatu mkesha.wanaimba mpaka sasita usiku..
Jumapili.kwanzia sanne Ni ibada wataimba na kuomba Hadi sa sa Saba mchanaa....alafu wataanza tena sakumi jioni...
Nyimbo zao nimezikariri ....nazijua vizuri tu....tumelalamika tumeona tukubali Hali.
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani
Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana
Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.
Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.
Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzimu
Mbona kelele zenu huwa hatuzisemiDuuuh....Mimi imenibidi nizoeee tu...ikifika sakumi wanaaza kuimba KILA siku...masoezi ya kwaya...
Ikifika ijumaa satatu mkesha.wanaimba mpaka sasita usiku..
Jumapili.kwanzia sanne Ni ibada wataimba na kuomba Hadi sa sa Saba mchanaa....alafu wataanza tena sakumi jioni...
Nyimbo zao nimezikariri ....nazijua vizuri tu....tumelalamika tumeona tukubali Hali.
[emoji3][emoji3][emoji3] kwamba umekariri nyimboDuuuh....Mimi imenibidi nizoeee tu...ikifika sakumi wanaaza kuimba KILA siku...masoezi ya kwaya...
Ikifika ijumaa satatu mkesha.wanaimba mpaka sasita usiku..
Jumapili.kwanzia sanne Ni ibada wataimba na kuomba Hadi sa sa Saba mchanaa....alafu wataanza tena sakumi jioni...
Nyimbo zao nimezikariri ....nazijua vizuri tu....tumelalamika tumeona tukubali Hali.
kama husikii harufu una dalili za 'nyumonia', nenda kapimeMimi mnisaidie ni wapi kwa hapa Dar nitapata ule mchele ambao nikiupika unapata ile harufu ya wali ukiwa jikon