Hivi walokole hamuwezi kuabudu kimya kimya!??

Hivi walokole hamuwezi kuabudu kimya kimya!??

Duuuh....Mimi imenibidi nizoeee tu...ikifika sakumi wanaaza kuimba KILA siku...masoezi ya kwaya...
Ikifika ijumaa satatu mkesha.wanaimba mpaka sasita usiku..
Jumapili.kwanzia sanne Ni ibada wataimba na kuomba Hadi sa sa Saba mchanaa....alafu wataanza tena sakumi jioni...

Nyimbo zao nimezikariri ....nazijua vizuri tu....tumelalamika tumeona tukubali Hali.
Habari za siku ndugu?
 
Hahahah kuna watu wazima wana hoja za kitoto kweli...

Wanafananisha adhana na mziki kweli...

Nyie endeleeni tu kelele zenu...MUNGU WENU KIZIWI AMELALA INAWEZEKANA...

NI JAMBO LISILOINGIA AKILI TIMAMU...UNAFANYA MAOMBI YAKO BINAFSI KWA KUTUMIA KIPAZA SAUTI...

Tunaelewa mnafanya promo ya makanisa yenu bubu kibiashara...

Tabia hizo huwezi ona kwa WAKATOLIKI NA WASABATO...

WALOKOLE DINI YENU IPO KIBIASHARA...KELELE NYINGI -->WAFUASI WENGI--> SADAKA NYINGI--> UTAJIRI...

Ndio maana nyie mnaongoza kwa program za maombezi na ushuhuda kwenye maTV, kama si promo ni nini...

Kelele zenu mnazotupigia hazina Mungu wa kweli zaidi ya sadaka...
 
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani

Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana

Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.

Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.

Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzima.
Show off. Hao ni Wafarisayo tu
 
Kungekuea hakuna umuhimu serikali ingezuia MDA mrefu, hili suala liache Kama lilivyo
 
Mungu wao ni kiziwi lazima wapige mekelele waweze kusikilizwa.

Mungu wa kweli hahitaji kupigiwa makelele, anahitaji unyenyekevu, kujishusha na kuongea nae kwa staha.

Changamoto: Walokole hebu nenda kaombe kazi kwa sauti na lugha zisizo eleweka shakarobaboboobobotesa kamafatahaguliwedasamo. Eti umenena kwa lugha. Ama Muombe baba, mama, mjomba au mtu mwingine kwa sauti za kelele Kama mfanyavyo uone Kama utafanikiwa. Mungu haihitaji makelele Bali moyo wa upole na unyenyekevu katika maombi.

Ukifuatilia kwa karibu hakuna watu wenye pesa na elimu wanasali huko kwenye makelele maana wanajua Mungu hatosikiliza hayo makelele.

Tuombe na kusali kwa upole na unyenyekevu na sio makelele na kujikweza
Ipo saa yaja utahitaji kufanya haya, mark my words
 
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani

Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana

Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.

Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.

Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzima.
Hama unapo ishi tafuta sehemu nyingine au hamia makaburini ndio Kuna utulivu
 
Pia hakuna watu wanao jiona watakatifu na wenye haki kama walokole kazi yao ni kuhukumu tu wasio wolokole kama wamepewa vinyundo vile
 
Serikali ilishatoa mwongozo kuwa maeneo ya kuabudu yawe mbali na makazi ya watu.

Kiukweli wanakera Sana, ila waislamu tushazoea muda mwingine hutusaidia kuamka kwenda mihangaikoni.

Ila walokole wanaamini ukiwashauri wasipige makelele wewe una mapepo unastahili maombi[emoji23][emoji23]

Hapo ndipo Tabu inaanzia
 
Hakuna limitation ya muda kwenye maswala ya kuabudu..

Labda ungeongelea mambo mengine kama pub na bar hapo watu ndo wangekuelewa
 
Hii ni shida Sana inaendelea hapa mtaani

Watu hatulali Hawa walokole wa kanisa la hapa mtaani mida hii wanaungurumisha music na kuimba kwa kelele Sana

Nashindwa kuelewa kwa nini serikali isipige Marufuku mtindo huu wa kuabudu kwa kupiga muziki tena wa juu Sana Hali inayopelekea noise pollution kwa wakazi husika.

Mida ya usiku ni muda wa kupumzisha akili na kunakuwa na utulivu wa Hali ya juu,sasa Hawa walokole wanapoanza kupiga miziki yao inakua kero kwa watu wa maeneo ya jirani.

Niambie wapi naweza kwenda kutoa mashtaka dhidi ya hili kanisa manake ni kero sasa kwa hii style yao ya kuabudu ni kelele mtaa mzima.
Ni kweli hata mimi napataga taabu sana nikiwa nimepumzika nikisikia adhana kwenye kipaza sauti kwenye msikiti karibu na home.
 
Hapo ni sawa na kuwaambia waislamu wasitumie zile horn speaker kwenye misikiti. Ngumu sana hao watu kukuelewa kwa hilo.
sidhani kama ni sawa kufananisha hizo vitu...waislam adhana haizidi sekunde 60 na ni mara 5 tu ndani ya saa 24. hawa wengine wakifungulia ma subwoofer ni mfululuzo masaa 5 au mpaka asubuhi kabisa siku wakiwa na mood kali ya maombi.
 
Ipo saa yaja utahitaji kufanya haya, mark my words
Chief, Mimi ni Mkristu na nasali Sana lakini sio kwa kupiga kelele na vilio visivyo na maana.

Kusali lazima kuwe na utulivu iki uweze concentrate, na kufanya reflection ya maisha yako na kumuomba Mungu.

Kwenye kelele Kama hizo unawezaje kuomba.

Pili kiafya hizo kelele sio rafiki kwa masikio ya waumini na kwa vyovyote waamini wa makanisa hayo watakuwa na shida ya masikio. Fanya utafiti.

Hivyo sali kwa staha Mungu atasikia
 
Mungu wao ni kiziwi lazima wapige mekelele waweze kusikilizwa.

Mungu wa kweli hahitaji kupigiwa makelele, anahitaji unyenyekevu, kujishusha na kuongea nae kwa staha.

Changamoto: Walokole hebu nenda kaombe kazi kwa sauti na lugha zisizo eleweka shakarobaboboobobotesa kamafatahaguliwedasamo. Eti umenena kwa lugha. Ama Muombe baba, mama, mjomba au mtu mwingine kwa sauti za kelele Kama mfanyavyo uone Kama utafanikiwa. Mungu haihitaji makelele Bali moyo wa upole na unyenyekevu katika maombi.

Ukifuatilia kwa karibu hakuna watu wenye pesa na elimu wanasali huko kwenye makelele maana wanajua Mungu hatosikiliza hayo makelele.

Tuombe na kusali kwa upole na unyenyekevu na sio makelele na kujikweza

Mimi najiuliza walitoa wapi hii style ya kuomba.
 
11Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Nenda ukasimame mlimani, mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu.”

Basi, Mwenyezi-Mungu akapita na kuuvumisha upepo mkali ambao uliporomosha milima na kuvunja miamba. Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika upepo huo.

Upepo ukapita, kukawa na tetemeko la ardhi. Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika tetemeko la ardhi. 12Tetemeko likapita, kukawa na moto.

Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika moto huo.

Baada ya moto, pakatokea sauti ndogo, tulivu.

13Basi, Elia aliposikia sauti hiyo, alijifunika uso kwa joho lake, akatoka na kusimama mlangoni mwa pango. Hapo, akasikia sauti,

“Elia! Unafanya nini hapa?”

______
Tunaweza kuongea na Mungu sehemu tulivu na sio kelele.
 
Jiunge nao tu ndugu yangu[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndo gumu...lakini Ni majirani Sasa utafanyaje..

Kuna siku Jumapili sakumi nambili asubuhi...mtu alishusha maombi hayo kwa speaker .....yaaani kwa sauti ya Nguvu balaaaa....Nyumba nzima tuliamka.

Doooh Ila tushawazoea ..tufanyaje sasa
 
Back
Top Bottom