We jamaa id yako inanikeraga sana..Hamia Zanzibar kwa dully
Bora umemwambia😅😅We jamaa id yako inanikeraga sana..
Hvi uwezi badiri hiyo picha mkuu
Jamaa anazingua unajua ni mda nakereka sana na id yake ila tu nashindwa kusema ukweliBora umemwambia😅😅
kweli kabisa😅😅ni wewe tu mwaya
Hali ni ngumu sana chief...wengi wetu tunajikaza tu ila hali ni ngumu mno kitaaYani hata sina cha kuandika wakuu.
Najuta kuzaliwa kuja kusaidiana na mateso.
☹️ Aiseee
sie wengine tuko kwenye Alhamdulillah phasekweli kabisa😅😅