wametushinda kilakitu, .........sio dhaifu!!Ukikutana nao nje ya nchi wana confidence za kufa mtu. wakiwa kwao hawataki longo longo na kama hawaelewani watapigana mikwaju kisha wanadeliver
Tazama KTN au KBC picha ziko clear, news zimetulia, watangazaji wametulia
Soma gazeti la NATION au Standard...huwezi fananisha na lile gazeti la Michuzi (daily nyuz) au lile la copy and paste (guardian)
sisi tuna watu wengi zaidi, rasili mali nyingi zaidi, wanasiasa wengi zaidi, vyama vya siasa vingi zaidi, magazeti mengi zaidi, JF ndio zaidi, cabinet yetu kubwa kuliko ya kwao, katiba yao (na mahakama ya kadhi ndani) ndio walipitisha, sasa kwa nini hawa wana deliver na sisi hatuna kitu?
I've tried to hate them lakini nimeshindwa, cant hate their ambition esp based on their national interest.
Halafu wao kujenga li Superhighway kama hili ili iweje?
ahh sisi hata kuthubutu tunashindwa sijui kwa nini
Wametuzidi katika matumizi ya "The latest Export Version 5" ya Opera System...Walianza enzi za Aloha, wakaja juu kwenye interface yake, Micros-Galileo, na baadaye kwenye Micros-Fidelio. Ni wataalamu katika wizi kwenye Point Of Sales za aina yeyote ile.Wako kikazi zaidi na si wavivu wa kufikiri kama Wabongo wengi tulivyo, hawaruhuru watu wengine wafikirie badala yao. Bora umeliona hilo!!!
Ni wataalamu katika wizi kwenye Point Of Sales za aina yeyote ile.
Propaganda at work!Mbona kama manzese tu, mi nilifikiri flyover kumbe!
Mbona kama manzese tu, mi nilifikiri flyover kumbe! Hata kama nchi yangu inaniuma sana lakini siwezi kutoa sifa za kijinga. Kwanza walipigana dr. Kikwete ndie alie wapatanisha. Wanajua kupigana tu lakini sio kupatana. Hata kofii alomide alishindwa kuwapatanisha.
Nyie wavivu sana kufanya kazi, nenda kwenye mashirika yenye wakenya hapa Tanzania utakuta wabongo wanalia lia eti wanaonewa! mmekalia uvivu tu
Ujamaa ulikuwa na faida nyingi sana kuliko unavyofikiri wewe. Hata kiswahili ni lugha inayotuunganisha. Tatizo hapa ni watu kukosa uzalendo. Hasa nyie mnaoenda nje ya nchi hamkumbuki nyumbani.
siasa ya ujamaa ukichanganya na joto la dar imechangia sana kuharibu akili zetu
kweli mkuu! hahahahahaha!Mbona kama manzese tu, mi nilifikiri flyover kumbe! Hata kama nchi yangu inaniuma sana lakini siwezi kutoa sifa za kijinga. Kwanza walipigana dr. Kikwete ndie alie wapatanisha. Wanajua kupigana tu lakini sio kupatana. Hata kofii alomide alishindwa kuwapatanisha.