Hivi Wakenya wametushinda nini?

Wametuzidi mengi sana. Utendaji kazi, Exposure + Ku-invest badala ya starehe za kukaa baa na milupo.
 
Nyie wavivu sana kufanya kazi, nenda kwenye mashirika yenye wakenya hapa Tanzania utakuta wabongo wanalia lia eti wanaonewa! mmekalia uvivu tu

Kweli sana mkuu....wakenya ni watu wa kazi...kuna kampuni nilikuwa nafanya nao kazi....mwenye kampuni wakubwa wote kawaweka wakenya....kazi wanapiga kwenda mbele hakuna longolongo....sema wanabaguana kimakabila kinoma.
 
kwa afrika nawakubali WAKENYA, wazimbabwe wachache & WA-NAIJERIA kwa kutafuta fursa na kuzitumia wengine ni wababaishaji tu
 
Kuwa mtanzania Kuna raha yake, Tanzania Ina utaratibu wake wa maisha ambao Kenya wanautamani wangekuwa nao, tofauti za miundo ya kijamii hupelekea jamii kujenga misingi inayotofautiana kimaono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom