njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,258
- 7,101
na sasa wana treni ya kwenda kasi..si bado tunataabika na treni za zamani na barabara zisizo na mbele wala nyuma
Hili la treni ya kwenda kasi uzushi hakuna kitu kama hiko, kwasasa
na sasa wana treni ya kwenda kasi..si bado tunataabika na treni za zamani na barabara zisizo na mbele wala nyuma
Hili la treni ya kwenda kasi uzushi hakuna kitu kama hiko, kwasasa
Duhh hili nalo neno!aliyewaroga alifariki mwaka 1999 na mlimzika kwa mbwembwe!
Hawajisifu ila asilimia kubwa ni wazito mno.Mi nimefanya kazi sana na wakenya hata wao wengi tu wavivu. Uvivu ni tabia ya mtu binafsi. WAkenya wengi ni vilaza ukija kwenye Technical point of view. Ila watanzania hawana tabia ya kujisifu.
Watz walio Nchi za nje wanasifika kwa ufanyaji kazi uliotukuka.mfano madaktari watz walioko Botswana.Tabu yetu humu nchini ni tunanyimana Mishahara na kuwapendelea wageni halafu tunalalamika kuwa watanzania ni wavivu.Ukikutana nao nje ya nchi wana confidence za kufa mtu. wakiwa kwao hawataki longo longo na kama hawaelewani watapigana mikwaju kisha wanadeliver
Tazama KTN au KBC picha ziko clear, news zimetulia, watangazaji wametulia
Soma gazeti la NATION au Standard...huwezi fananisha na lile gazeti la Michuzi (daily nyuz) au lile la copy and paste (guardian)
sisi tuna watu wengi zaidi, rasili mali nyingi zaidi, wanasiasa wengi zaidi, vyama vya siasa vingi zaidi, magazeti mengi zaidi, JF ndio zaidi, cabinet yetu kubwa kuliko ya kwao, katiba yao (na mahakama ya kadhi ndani) ndio walipitisha, sasa kwa nini hawa wana deliver na sisi hatuna kitu?
I've tried to hate them lakini nimeshindwa, cant hate their ambition esp based on their national interest.
Halafu wao kujenga li Superhighway kama hili ili iweje?
ahh sisi hata kuthubutu tunashindwa sijui kwa nini
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Moja ya faida ya ujamaa kwa nchi zilizofanikiwa. enzi za ujamaa ilikuwa ni uzalendo na utaifa kwa watu wote.Ujamaa ulikuwa na faida nyingi sana kuliko unavyofikiri wewe. Hata kiswahili ni lugha inayotuunganisha. Tatizo hapa ni watu kukosa uzalendo. Hasa nyie mnaoenda nje ya nchi hamkumbuki nyumbani.