Hivi Wakenya wametushinda nini?

Hivi Wakenya wametushinda nini?

Siku Nikiona comprehensive infrastructure plan ya Tz for the next 50 yrs nitajua yuko serious otherwise tuendelee kupiga domo
 
Nyerere alichokosea ni kuondoa Unyapara, ndiyo maana kila siku watu wanaacha kufanya kazi badala yake wanadai Haki wasio ifanyia kazi kila siku migomo na uvivu.
Lakini Kenya waliendelea kutumikishwa na wazungu baada ya Uhuru wao sisi tuliboronga kwenye Azimio la Arusha kwa kutaifisha mashirika na kurundika watumishi wengi wasio na sifa. Ndugu Naization iliingia hapo tujirekebishe hatujachelewa.
 
wametuzidi shida, nenda Kenya kama hukukomaa siku hiohio, hakuna ardhi, ajira, n.k. ubepari na matabaka umefanya klila mtu a-struggle
 
nimewahi kufanya kazi na wa kenya........wapo hivi....kila kazi wanayofanya ana hakikisha boss wake anajua amefanya nini tofauti na job description yake.....atahakikisha kuonyesha kuna kitu tofauti amefanya na boss AJUE,,,ila mbongo anaweza kufanya hicho kitu na akauchuna maisha yakaendelea......mfano,,,,anaweza kuja kazini mpaka juma pili akija afanye kazi kidogo au aje azuge tu,,,lkn management ita notice kua kuna bwn fulani hua anakuja kazini mpaka juma pili......kwa kifupi wanajua siasa za kazi.....waliwahi kunisumbua nikawashtukia nikala nao sahani moja wakasepa na kuniachia ofisi.....nikahama company nyingine nikaanza kutumia style yao....mambo safi kabisa....
 
Mbona vilipuzi na milipuko inayowakabili hujaweka!acha ulimbukeni wewe kila jambo Lina pande mbili!ni kweli kuna Mabaya ya tz yetu Mazuri yapo pia!ama Kwa kuwa unalala kimyaa unajua vinakuja tu hiyo ndiyo Tanzania
 
Watanzania acheni kujidharau, si kweli kwamba Wakenya wametuzidi kwa kila kitu. Watanzania tupo mbele katika nyanja mbalimbali, Tatizo mtoa mada na wachangiaji wengine wamesha jidharau mbele ya Wakenya, na hiki kitu hata kama mimi ningekuwa Mkenya ningefurahia sana. Rise up watanzania wenzangu, tuna vitu vingi tu vya kujuvunia, na siku zote, there is still a room for improvement hata kwa wakenya pia, kuna baadhi ya mambo wanajifunza kutoka kwetu Watanzania , na sio kweli kwamba tupo chini kiasi hicho. Pia ni lazima tuangalie tofauti ya sera za kuichumi tulizorithi huko nyuma toka nchi zetu zipate uhuru hadi sasa. Na nina uhakika, kwa kasi na rasilimali tulizonazo Watazaniam, si muda mrefu tutawapita Wakenya katika maendeleo na hasa katika maeneo ya ukuaji wa uchumi. Tunachohitaji Watanzania ni uongozi mzuri utakao tuongezea kasi ya maendeleo kufikia nchi ya ahadi.

Ila nimeona mtoa mada amechomekea na ka-udini kidogo si vizuri,swala la Mahakama ya Kadhi katika Katiba halikubaliki. Kila nchi ina misingi yake, hatuwezi ku copy mambo ya nchi nyingine, ndio maana tukaitwa Watanzania, sis tupo 'unique'
 
Nyerere alichokosea ni kuondoa Unyapara, ndiyo maana kila siku watu wanakacha kufanya kazi badala yake wanadai Haki wasio ifanyia kazi kila siku migomo na uvivu.
Lakini Kenya waliendelea kutumikishwa na wazungu baada ya Uhuru wao sisi tuliboronga kwenye Azimio la Arusha kwa kutaifisha mashirika na kurundika watumishi wengi wasio na sifa. Ndugu Naization iliingia hapo tujirekebishe hatujachelewa.
Umeongea point mkuu,
 
Rasilimali zipi. Kuwa na rasilimali ambazo hazina tija kwako ni sawa na kutokuwa nazo.
 
nimewahi kufanya kazi na wa kenya........wapo hivi....kila kazi wanayofanya ana hakikisha boss wake anajua amefanya nini tofauti na job description yake.....atahakikisha kuonyesha kuna kitu tofauti amefanya na boss AJUE,,,ila mbongo anaweza kufanya hicho kitu na akauchuna maisha yakaendelea......mfano,,,,anaweza kuja kazini mpaka juma pili akija afanye kazi kidogo au aje azuge tu,,,lkn management ita notice kua kuna bwn fulani hua anakuja kazini mpaka juma pili......kwa kifupi wanajua siasa za kazi.....waliwahi kunisumbua nikawashtukia nikala nao sahani moja wakasepa na kuniachia ofisi.....nikahama company nyingine nikaanza kutumia style yao....mambo safi kabisa....

Safi kabisa mkuu hapo na mimi nimejifunza kitu.
 
Watanzania acheni kujidharau, si kweli kwamba Wakenya wametuzidi kwa kila kitu. Watanzania tupo mbele katika nyanja mbalimbali, Tatizo mtoa mada na wachangiaji wengine wamesha jidharau mbele ya Wakenya, na hiki kitu hata kama mimi ningekuwa Mkenya ningefurahia sana. Rise up watanzania wenzangu, tuna vitu vingi tu vya kujuvunia, na siku zote, there is still a room for improvement hata kwa wakenya pia, kuna baadhi ya mambo wanajifunza kutoka kwetu Watanzania , na sio kweli kwamba tupo chini kiasi hicho. Pia ni lazima tuangalie tofauti ya sera za kuichumi tulizorithi huko nyuma toka nchi zetu zipate uhuru hadi sasa. Na nina uhakika, kwa kasi na rasilimali tulizonazo Watazaniam, si muda mrefu tutawapita Wakenya katika maendeleo na hasa katika maeneo ya ukuaji wa uchumi. Tunachohitaji Watanzania ni uongozi mzuri utakao tuongezea kasi ya maendeleo kufikia nchi ya ahadi.

Ila nimeona mtoa mada amechomekea na ka-udini kidogo si vizuri,swala la Mahakama ya Kadhi katika Katiba halikubaliki. Kila nchi ina misingi yake, hatuwezi ku copy mambo ya nchi nyingine, ndio maana tukaitwa Watanzania, sis tupo 'unique'

Asante mkuu!,nimekupata big up.
 
Wametuzidi sana aise,yani mpaka wanamili alshabab wakati ss tunamiliki vi panya road?
 
Yote hii ni madhara ya kutawaliwa na TANU/CCM bila mtazamo wa maendeleo.
 
Ukikutana nao nje ya nchi wana confidence za kufa mtu. wakiwa kwao hawataki longo longo na kama hawaelewani watapigana mikwaju kisha wanadeliver

Tazama KTN au KBC picha ziko clear, news zimetulia, watangazaji wametulia

Soma gazeti la NATION au Standard...huwezi fananisha na lile gazeti la Michuzi (daily nyuz) au lile la copy and paste (guardian)

sisi tuna watu wengi zaidi, rasili mali nyingi zaidi, wanasiasa wengi zaidi, vyama vya siasa vingi zaidi, magazeti mengi zaidi, JF ndio zaidi, cabinet yetu kubwa kuliko ya kwao, katiba yao (na mahakama ya kadhi ndani) ndio walipitisha, sasa kwa nini hawa wana deliver na sisi hatuna kitu?

I've tried to hate them lakini nimeshindwa, cant hate their ambition esp based on their national interest.

Halafu wao kujenga li Superhighway kama hili ili iweje?

ahh sisi hata kuthubutu tunashindwa sijui kwa nini
17222619748_1b69229090_b.jpg

15829023643_e4d746c237_b.jpg

17384406106_a6e6de9f6c_b.jpg

7293527580_6750ff3295_b.jpg

11072537_1036594563035763_5241949039730488886_n.jpg

10922767_977705588928824_6489992242201783296_n.jpg

11255259_1070521696309716_3735786793160014247_n.jpg

11218850_1070517392976813_6774185895852903247_n.jpg

Niliwahi kusema sisi ni kifaranga kwa wakenya sikueleweka. Vema tujibenchmark seriously na wao angalau tutasonga mbele. Kukataa ukweli ni upofu.
 
na sasa wana treni ya kwenda kasi..si bado tunataabika na treni za zamani na barabara zisizo na mbele wala nyuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom