Hivi wairaq wapoje kitabia?

Hivi wairaq wapoje kitabia?

Status
Not open for further replies.
Ukiendelee kuulzia habar ya makabila utaumia kichwa Tuuu

HAKUNA mwaminfu tuu.
 
Si kweli... Ni mawazo ya walio wengi... Na hii imetokana na uzuri wao,, wengi wamekua wakichukuliwa na kupelekwa mijini kuwa wafanyakazi wa ndani na barmaid's, ugumu wa maisha na familia walizotoka hujikuta wameingia katika mtego huo.. na mwiraq hafichiki utamgundua tuu kimwonekano.. lakini kiuhalisia sio tabia ya watu wa kule...
Mkuu Mimi nilikua mbishi kama wewe.
 
Tanzania tuna Makabila zaidi ya 120, ila haya walasitothubutu

Wajita, Wakerewe, Wazinza, Wahaya, Wanyambo, Wanyamwezi, Wambulu, Wairaqwi, Wangoni, Wanyiramba, Wamwela, Warangi, Wanyiramba.
Kuna jamaa nae alishanitajia usithubutu kuoa mkerewe, wana shida gani nao hao?
 
Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka Babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamuzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa, coz she is real beautiful, umbo zuri na rangi nzuri pia halafu ananijali sana kimatendo.

Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision.
Wairaq marage ya mbea mjomba
 
Ndugu mleta mada wewe ni mwanaume na unapaswa uwe mwanaume fanya kile kilichoafikiwa na moyo wako akili yako na dhamiri yako ikiwa inaongozwa na Mungu.

Hakuna mwanamke mbaya moja kwa moja hata kama ni mbaya kiasi gani
Hakuna kabila au jamii mbaya moja kwa moja hata kama hio jamii inahusishwa na ubaya kwa kiasi gani.

Kuna watu wameoa kwenye familia za wachawa na washikina lakini Wamepata mke bora.

Wengi wanaotoa ushauri hapa hakuna alie oa wala kuolewa kwa hio mambo ya ndoa yapo juu ya uwezo wao na ndio maana wanatoa ushauri dhaifu sana eti utagongewa!!!

Mtu aliekwisha oa ama kuolewa hua hawazi tena kugongewa na mambo kama hayo.

Ushuhuda yupo mama mmoja muirak kijijini kwetu aliweza kuolewa na mchaga na ndoa yao mpaka sasa ipo na imedumu mpaka sasa wana wajukuu wakubwa kabisa.

Kama unavyojua harakati za wanaume wa kichaga kwenda kutafuta maisha mjini karibu mwaka mzima hali amemuacha mke nyumbani.
Ndivyo ilivyokua kwa huyu mzee ninae mshuhudia hapa, nakuambi wanaume wenzake walio oa wachaga wake zao walikua wanatoka nje kwa kiasi kisichoelezeka mpaka kuzaa na nje ya ndoa lakini kwa huyu mmbulu ilikua tofauti na matarajio ya walio wengi.

Mimi mwenyewe nimeoa kanda hio hio. Nilipoenda kumtambulisha kwetu kwamba binti huyu ni kanda ya manyara watu walinicheka ya kuwa nitagongewa kwani ndio tabia yao! Mpaka sasa mwaka wa 6 ndoa iko powa mno no kugongewa wala nini.

Kabla yake nilikua naishi na binti mmoja mchaga mwenzangu lakini nilishuhudia akigongwa mara mbili na mwishowe kanikimbia.

Kwa hio usisikilize kila maoni ya watu yakwamba watu fulani wako vile ama hivi.

Mimi na kushauri muoe huyo dada na kushuhudia ndugu yangu utakuja kushukuru hapa hapa jamii forum ya kwamba ulifanya chaguo sahihi.

Mungu awaongozeni na kuwasameheni kwakua mmesha zini na ili mahusiano mazuri na Mungu ya wareeni muoe huyo dada.
Unajuaje sasa hugongewi..au unajipa moyo tu. Unaenda nae kazini? Unasafiri nae?
 
Ndoa haiangali kabila,sura wala rangi,

Lau tungezingatia makabila tusingeoa

Chamsingi fanya uchunguzi, fika kwao,au tuma mpelelezi akukusanyie data za huyo mwanamke na familia yake kwa ujumla kisha pitisha maamuzi
 
Ndoa haiangali kabila,sura wala rangi,

Lau tungezingatia makabila tusingeoa

Chamsingi fanya uchunguzi, fika kwao,au tuma mpelelezi akukusanyie data za huyo mwanamke na familia yake kwa ujumla kisha pitisha maamuzi

Hiyo shida yote ya nn? Atafute mtu ambaye hamjui amtongoze aone kama atakataa
Hawajataagi mbwa wale huo ndo ukweli
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom