establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,641
- 2,474
Nilioa sehemu inauitwa Bashnet nikaja nae Dar akakutana na jamaa wa kwao wakalianzisha nikisafiri jamaa anakuja home siku nikawabamba baa jirani akadai no binamu yakeilikuaje mzee[emoji3][emoji3][emoji3]