Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,298
- 46,756
Tajiri wa maswali huyu jamaa..Hakuna wa kumzidi humu JF
Tajiri gani ana maswali mia kidogo, Kila kitu hajui
Tajiri wa maswali huyu jamaa..Hakuna wa kumzidi humu JF
Tajiri gani ana maswali mia kidogo, Kila kitu hajui
Wangoni hivi wako based sana maeneo gani Songea na wapi?Ila wangoni nomaaa....Mungu kwao amebariki shepu adi mapenzi,aisee Ila Sasa tabia labda awe anaijua dini
Songea mkuu...Ila kutokana na kutafuta rizki wamesambaa ata dar wapoWangoni hivi wako based sana maeneo gani Songea na wapi?
Naskia tu kuwa wako njema..ni kama watoto wa kitanga au ni kwamba wanapenda tu kugegedana?Songea mkuu...Ila kutokana na kutafuta rizki wamesambaa ata dar wapo
😛😛😛😳Acha nikupe kisa kimoja kinachonihusu.
Mwaka fulani nilipata field uko hydom, kiukweli nilista ajabu kuona uzuri wa wasichana wa kule, nikajikuta nimeshaingia kwenye mapenzi na binti wa kimbulu(alikua mwajiliwa). Mapenzi yakawa motomoto(nikajikuta marioo). Nitake nini mwanaume nisipate, out za kila mara, nikaona hapa naoa.
Mwanamke mpole, mnyenyekevu, mkarimu, nilijiona mbabe kweli.
Baada ya miaka miwili mwanamke akaanza kulazimisha sana ndoa, akadai kama sina hela yeye atagharamikia kila kitu hili mradi nimuoe, nikaona hii siiwezi. Nikamwambia asubiri kidogo.
Aisee kumbe demu ni demu wa masela, wanaoniita shemeji ndiyo mabwana zake.
Kisa ni kirefu hila hawa hawajui kukataa, ukioa jua na jirani yako atakula tu.
Nakupa task nenda uko ukweni, jaribu kumtongoza rafiki/mdogo mtu/dada mtu/ au mke wa mtu, ukikataliwa basi oa
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Utachoka wewe tu mkuu...na akikupa anakupa full package hawana hiyana kwakweli,Ila kumpata wa peke ako omba Sana Mungu.Naskia tu kuwa wako njema..ni kama watoto wa kitanga au ni kwamba wanapenda tu kugegedana?
Mungu huongea kupitia watu..Mimi nafuata kitu roho inapenda sio majungu ya walimwengu
Yaan unauliza swali na yy anauliza swaliTajiri wa maswali huyu jamaa..Hakuna wa kumzidi humu JF


Kama unatafuta Weupe/Sura Bora hata warangi angalau Wana aibu kidogo hao wanazaa na jirani yako mchana peupeDaa kumbe,,,nachoshangaa huyu duu kila muda ananiita"baba yangu" sijui ana maana gani?
Omoo maana yake nini?Do for your own risk!
Kuna makabila hua wanawezana wao kwa wao tu mm nimeishi nao sana wewe Kama sio mmbulu uko kwao wanakuita omoo!
yamewahi kukutokea nini?Kama unatafuta Weupe/Sura Bora hata warangi angalau Wana aibu kidogo hao wanazaa na jirani yako mchana peupe
Mtu asikudanganye kuhusu tabia ya kabila fulani, hayo mambo yameshapita, tutandawazi sasa hv imeua kabisa hiyo scenario kilichobaki ni malezi ya familia, marafiki na binti mwenyewe, kama umeona na umechunguza anakufaa we rukia hiyo pisi, usiangalie watu wanasemaje.Daa kumbe,,,nachoshangaa huyu duu kila muda ananiita"baba yangu" sijui ana maana gani?
Yesyamewahi kukutokea nini?
hahahaKama unatafuta Weupe/Sura Bora hata warangi angalau Wana aibu kidogo hao wanazaa na jirani yako mchana peupe


weka geti kali