Hivi wairaq wapoje kitabia?

Status
Not open for further replies.
Hizi ni hadithi tuu mbona wanawake wote Tanzania wanafanya umalaya tuu
 
Kuna ndugu yangu mmoja ameoaga hiyo kitu huuni mwaka wa 19 bila halftime, yani huyo mke kwanza kamtagia watoto kama saba hivi fasta fasta halafu akamfungisha ndoa chapu then akaanza purukushani kwa mtindo wa series yaani bandika bandua na mzigo anagawa kama nguo ya kuazima. Huyo ndugu yangu ni mdogoangu wa mbali kiumri lakini tukikaa pamoja ni bro wangu, uso una makunyanzi kama matuta ya viazi.
 
aiseeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwamba ana stress au vipi
 
Nimesoma kuanzia ukurasa wa kwanza mpaka hapa sijaacha comment hata moja lakini sijaona aliyewataja WAHA (Kigoma),

Kwa maelezo ya mjumbe mmoja itabidi nioe MNYATURU kwa sababu za kimaslahi zaidi (kutengeneza pesa)

Nimemaliza
Tupo wote kiongoziπŸ’ͺ
 
na demu wangu wa kimbulu itabidi nimpige chini nitafute mwingine
 
Kila la.kheri mkuu oa mnyaturu anaweza kuipaisha familia yako hadi uchumi wa kati...unaweza mjaribu na mtaji mdogo wa mpesa...

Wanawake wa kigoma watakupaisha kiuchumi na wanafaa kwa heshima. Kikubwa tu ujipange kupokea ndugu zao wakihamia kwako fungua biashara nyingi myingi na maahine ya kusaga utapaa

Kuhusu muiraqw nsikudanganye mdogo wangu..at your own risk
Ndiyo mkuu
. Oa
 
 
Kama unaolea sura, oa. Hila kama tabia usikurupuke, ndoa itaota mbawa mapema sana
Kwahiyo wairaqw wote hawajaolewa kwakuwa wana tabia mbaya .....sacha mm niongeze mwingine
 
Nakumbuka wakati nakaa kwa mjomba alikuja beki tatu kutoka KATESH [emoji16][emoji16][emoji16].
kwani nilitongozaa?
Ni zaidi ya kumsukuma mlevi
 
Naskia pia kuna Gonorrhea ambayo ni MDR..kuwa makini tusilipoteze tajiri lenye ukwasi mkubwa magomeni mapipa yote
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Tajiri gani ana maswali mia kidogo, Kila kitu hajui
 
jamani nimekutana na dada ni mnyasa feat mngoni,she is so romantic, wajuvi wa mambo nipeni abcd za hili kabila waungwana?
 
jamani nimekutana na dada ni mnyasa feat mngoni,she is so romantic, wajuvi wa mambo nipeni abcd za hili kabila waungwana?
Wanyasa na wangoni ni kama jamii inayofanana, kunyanduana ni tabia ya asili kwao, kufanya ngono ni sehemu ya ufahari wao kiasili, kama ilivyo kwa wanawake wa kihaya.

Huyo wa kwako kama amezaliwa mjini na kukulia mjini au hana elements zozote za kimakuzi ya kikabila, basi hilo hapo juu halimuhusu kwa 90%. Mhukumu kama alivyo yeye.
 
jamani nimekutana na dada ni mnyasa feat mngoni,she is so romantic, wajuvi wa mambo nipeni abcd za hili kabila waungwana?
Ila wangoni nomaaa....Mungu kwao amebariki shepu adi mapenzi,aisee Ila Sasa tabia labda awe anaijua dini
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…