piper
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 3,253
- 613
Hahahaha, muraaa umeniacha hoiHaohao kina NANI:shocked:!!???? Ningekutana na wewe ningekurusha kichurachura na kukuimbisha "Jua lile literemkee Mama" mpaka ungeomba umwite Mukama au mama mkwe wako aje kukuombea msamaha. Senene mkubwa wee:shocked:..