Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

Mbuli

Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
80
Reaction score
12
Nilikuwa barabarani jana maeneo ya Mlandizi naendesha gari toka Moro kuja Dar. Nilikamatwa na Trafiki na kosa kubwa ni kwamba niliovertake sehemu mbaya.

Baada ya kuuliza kabila langu alionekana kukereka sana na kusema kwamba mnajifanya bush lawyers, mnajipenda sana na ndio maana mwalimu hakuwapenda.

Kusema kweli alisema mabaya kushambulia kabila langu kadri alivyoweza. Nilidhangaa kosa linatoka barabarani na kuwa kosa la kabila. Nilichukia sana kwa kuwa walikuwepo askari wengine wana bunduki niliogopa kusema lolote nistoe mwanya wa kutekeleza amri ya Pinda.

Hii imekuwa mara nyingi sana kuona kejeli na dharau za Polisi kwa kabila langu...

Haipendezi
 
pengine wanaona wivu nyie mlipata bahati ya kusoma wao walikosa inawauma mpaka kesho, awajui shule mlizosoma azikuwa za serikali bali za dini
 
Ningekuwa mie ndo wewe nisingesema kabila langu hata kwa dawa.

Kama nina makosa aniandikie faini nikalipe na siyo kuulizana kabila.

...........Hivi ni kwanini haukuchukua hata hiyo namba yake
ya kwenye suti yake nyeupe ukaiweka hapa ubaoni tukahangaika naye.
 
Waitu,
Polisi mbona ni watani zako omwami Mbuli? Umesahau kuwa polisi na gesh ndio porofesheno kuu ya wale wajukuu zenu wa pande za kanda maalumu?

Ungezungumza nao kama mtani wao mungeelewana tu, usiogope bunduki zao zile ni vifaa vya kazi kama vile nyie kina nshomire mnavyotumia hizo kalamu kuwekea saini kwenye madokomenti.

Shumaramu waitu.
 
ha ha ha haaaa! wakitumaliza sisi watahamia kwenu
 
Nilikuwa barabarani jana maeneo ya Mlandizi naendesha gari toka Moro kuja Dar. Nilikamatwa na Trafiki na kosa kubwa ni kwamba niliovertake sehemu mbaya. Baada ya kuuliza kabila langu alionekana kukereka sana na kussma kwamba mnajifanya bush lawyers, mnajipenda sana na ndio maana mwalimu hakuwapenda. Kusema kweli alisema mabaya kushambulia kabila langu kadri alivyoweza. Nilidhangaa kosa linatoka barabarani na kuwa kosa la kabila. Nilichukia sana kwa kuwa walikuwepo askari wengine wana bunduki niliogopa kusema lolote nistoe mwanya wa kutekeleza amri ya Pinda. Hii imekuwa mara nyingi sana kuona Polis na za kabila langu...Haipendezi
Halafu unakuja humu kulalamika!!??:shocked:. Hiyo sababu ya wewe kuwa Muhaya na kuchukiwa na Polisi ni UONGO NA UZANDIKI MKUBWA. Na hapo unapomsingizia Mzee Wetu Baba wa Taifa....Kama hakuwapenda ungefika hapo ulipo mpaka unaweza kuendesha gari na kuandika Utumbo JF!!?? Acha Umburula wewe Bwenga.
 
pengine huyu naye ni kutokea Mkoani Mara. watani na utani.
 
Ila nimekumbuka. Polisi wengi ni wakurya. Watani wetu. Sasa kitanuka
 
Waitu,
Polisi mbona ni watani zako omwami Mbuli? Umesahau kuwa polisi na gesh ndio porofesheno kuu ya wale wajukuu zenu wa pande za kanda maalumu? Ungezungumza nao kama mtani wao mungeelewana tu, usiogope bunduki zao zile ni vifaa vya kazi kama vile nyie kina nshomire mnavyotumia hizo kalamu kuwekea saini kwenye madokomenti. Shumwaramu waitu.

Hao tukikutana nao wala huwa hakuna tabu kabsaa. Huyo naona alikuwa anatokea sehemu za pwani. Hao akina Mura hawana tatizo kabisa
 
Tatizo ulisema we ni muhaya ukifikiri atakuogopa. Ni kweli wahaya mbwembwe nado kinga yenu.
 
Halafu unakuja humu kulalamika!!??:shocked:. Hiyo sababu ya wewe kuwa Muhaya na kuchukiwa na Polisi ni UONGO NA UZANDIKI MKUBWA. Na hapo unapomsingizia Mzee Wetu Baba wa Taifa....Kama hakuwapenda ungefika hapo ulipo mpaka unaweza kuendesha gari na kuandika Utumbo JF!!?? Acha Umburula wewe Bwenga.

Nawe ni kati ya haohao. Fikiria we ni askari na umemkamata Mhaya.. Hapa kwenye jamvi umetapika na je kwenye hali halisi ingekuwaje
 
Ila nimekumbuka. Polisi wengi ni wakurya. Watani wetu. Sasa kitanuka
Tutake Radhi mkuu tafadhali. Ni sawa na kusema MAJAMBAZI yote ni Wachaga au MA.LAYA wote ni WAHAYA. Jenerolaizesheni sio nzuri.
 
Ningekuwa mie ndo wewe nisingesema kabila langu hata kwa dawa.

Kama nina makosa aniandikie faini nikalipe na siyo kuulizana kabila.

...........Hivi ni kwanini haukuchukua hata hiyo namba yake
ya kwenye suti yake nyeupe ukaiweka hapa ubaoni tukahangaika naye.

Kwenye notification sheet ya makosa barabarani kuna sehemu ya kujaza kabila lako.

Si kosa la trafiki, ndo sheria zetu.
 
Na we ulimwambia kabila lako lanin manake hakuna uhusiano wowote kat kabila na sheria za balabala nahis wewe ni mkabila tena kunauwezekano ulijisifu wewe ni muhaya tena ni lawyer ni vizur kuheshim kaz za watu....I HATE UKABILA NDO MAANA UKINIULIZA KABILA LANGU NAN NTAKUJIBU NYERERE...
 
Nawe ni kati ya haohao. Fikiria we ni askari na umemkamata Mhaya.. Hapa kwenye jamvi umeyapika na je kwenye hali halisi ingekuwaje
Haohao kina NANI:shocked:!!???? Ningekutana na wewe ningekurusha kichurachura na kukuimbisha "Jua lile literemkee Mama" mpaka ungeomba umwite Mukama au mama mkwe wako aje kukuombea msamaha. Senene mkubwa wee:shocked:..
 
Na we ulimwambia kabila lako lanin manake hakuna uhusiano wowote kat kabila na sheria za balabala nahis wewe ni mkabila tena kunauwezekano ulijisifu wewe ni muhaya tena ni lawyer ni vizur kuheshim kaz za watu....I HATE UKABILA NDO MAANA UKINIULIZA KABILA LANGU NAN NTAKUJIBU NYERERE...

Niambie siku nyingine akiniuliza nimwambie mi kabila gani mkuu
 
Back
Top Bottom