Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

Kule Bungeni Wabunge Wahaya Ndio wanaongoza kwa kuchanganya Lugha (kiswanglish)huku wengine majimbo Yao ni ya vijijini sana wapiga kura wengi hawajui Kingereza lakini wanawalazimisha kununua Kamusi ili wajue mbunge wao kaongea nini Hii kasumba ya kudhani kuzungumza Kingereza ni Usomi inawasumbua sana !wanapaswa watambue Kuwa hiyo lugha ya Mkoloni pale England inazungumzwa na wote hadi Omba omba tena hawajaenda shule ni lugha Yao tu .kumbuka Elimu(taaluma)hupatikani ktk Lugha mbali mbali pasipo kutumia kingereza Wapo wasomi wafaransa wachina warusi wahispania wajeruman nk wana PHD wamesoma kwa Lugha zao na hawajui kingereza na maisha yanaendelea kwao soma kingereza kwa manufaa yako na kimataifa lakini unapokuwa Nyumbani jitahidi kuipenda na kuithamini lugha yako hakika utapendwa na wengi
 
duh pole sana....kumbe na kwenye "nchi ya raslimali nyingi" ukabila upo?
 
Ushauri tu kwa wahaya na. Wachaga tojea kuzijua au kuzisikia kabila hizi ni kwa mabaya mudomoni kwa wa tz ushauri wangu bora mujitege

Hata kuwasema sana hakusaidii make navyohisi mie ni mafanikio yao ndo yanawafanya watu wachonge ngenga
..sasa kama wengine wanalala alafu eti wanataka na wao wafanikiwe kama wenzao haiwezekani na haya mambo ya kuwaita mara wezi,wanaringa mara hivi haviwasaidii nyinyi wenzetu,jitahidi mshindane nao hivyohivyo.
 
Radhi ya nini mkuu Borat69? sundoka amesema polisi wengi ni Wakurya; hajasema kuwa Wakurya wote ni polisi. Wala sioni tatizo hapa. Ni kweli kuwa polisi wengi ni akina mura.
Si kweli polisi si Wakurya siku hz polisi ni mseto kabla zote wamo tena wachaga na wengi sana Wakurya wengi walikuwa wanajeshi Nao Pia huko wamepungua sana kwani nako kuna Mseto wa makabila
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa barabarani jana maeneo ya Mlandizi naendesha gari toka Moro kuja Dar. Nilikamatwa na Trafiki na kosa kubwa ni kwamba niliovertake sehemu mbaya.

Baada ya kuuliza kabila langu alionekana kukereka sana na kusema kwamba mnajifanya bush lawyers, mnajipenda sana na ndio maana mwalimu hakuwapenda.

Nshomire...... hahahaaaa eti ni hatari sana.....pole bwana..... Tanzania ina makabila mengi kwann kachagua hilo

Kusema kweli alisema mabaya kushambulia kabila langu kadri alivyoweza. Nilidhangaa kosa linatoka barabarani na kuwa kosa la kabila. Nilichukia sana kwa kuwa walikuwepo askari wengine wana bunduki niliogopa kusema lolote nistoe mwanya wa kutekeleza amri ya Pinda.

Hii imekuwa mara nyingi sana kuona kejeli na dharau za Polisi kwa kabila langu...

Haipendezi

Nshomire...pole sana bwana. Traffic wa Kike au wa Kiume? Na mlimaliishiana vip?
 
Hata kuwasema sana hakusaidii make navyohisi mie ni mafanikio yao ndo yanawafanya watu wachonge ngenga
..sasa kama wengine wanalala alafu eti wanataka na wao wafanikiwe kama wenzao haiwezekani na haya mambo ya kuwaita mara wezi,wanaringa mara hivi haviwasaidii nyinyi wenzetu,jitahidi mshindane nao hivyohivyo.
Hayo Ndio maringo yenyewe sasa angalia ulivyopindisha mada tayari unaona eti unaonewa wivu ?jaribu kujitambua mafanikio na ulimbukeni yaani maringo ni vitu viwili tofauti !kama ni mafanikio wahindi waarabu wachaga na wasukuma ni matajiri sana lakini hawana Maringo Kama baadhi ya wahaya wachache wanaowaharibia wahaya wenzao wenye busara na Hekima tele
 
Hii dhana ya Wahaya kuonekana wana Maringo inapaswa wahaya sasa wajitambue wabadilike japo ni vigumu kubadilika kwa kasi
 
Hii dhana ya Wahaya kuonekana wana Maringo inapaswa wahaya sasa wajitambue wabadilike japo ni vigumu kubadilika kwa kasi

Wao wakiringa na wengine kuwachukia.. Mi nadhani mwenye kuchukia ndio mbaya zaidi hata mbele za Mungu. Watanzania wengi wakijiamini na kuringia Utanzania wao kama Wahaya wanavyoringia Uhaya wao basi nadhani mabo yangekuwa mazuri. Ebu angalia nchi nyingine wanavyoringia utaifa wao. Sie WaTZ tunaona mpaka aibu na kujifanya wa mataifa mengine ndani ya nchi yetu. Upuuzi gani huu....?
 
Kule Bungeni Wabunge Wahaya
Ndio wanaongoza kwa kuchanganya Lugha (kiswanglish)huku wengine majimbo
Yao ni ya vijijini sana wapiga kura wengi hawajui Kingereza lakini
wanawalazimisha kununua Kamusi ili wajue mbunge wao kaongea nini Hii
kasumba ya kudhani kuzungumza Kingereza ni Usomi inawasumbua sana
!wanapaswa watambue Kuwa hiyo lugha ya Mkoloni pale England inazungumzwa
na wote hadi Omba omba tena hawajaenda shule ni lugha Yao tu .kumbuka
Elimu(taaluma)hupatikani ktk Lugha mbali mbali pasipo kutumia kingereza
Wapo wasomi wafaransa wachina warusi wahispania wajeruman nk wana PHD
wamesoma kwa Lugha zao na hawajui kingereza na maisha yanaendelea kwao
soma kingereza kwa manufaa yako na kimataifa lakini unapokuwa Nyumbani
jitahidi kuipenda na kuithamini lugha yako hakika utapendwa na
wengi

hizi ni habari za Comedy...kama Great Thinker hakutakiwa kuandika huu upuuzi.
 
hizi ni habari za Comedy...kama Great Thinker hakutakiwa kuandika huu upuuzi.

Kwa akili yako ndogo unaona ni upuuzi lakini usidhani mtizamo wako Ndio sahihi wewe si Mungu hata wewe una mapungufu makubwa ktk kung'amua mambo Nadhani wewe ni Mojawapo wa wale wahaya wachache malimbukeni wanaofikiri mambo Yao kwa lugha za kigeni Kumbukeni wale Wahaya wasitaarabu mnawaharibia sana
 
Binadamu hawapendi kukosolewa hata kwa Yale mabaya japo ukikubali kukosolewa utapata fursa ya kujifunza lakini Ubishi ndani ya jamii zetu umekuwa Kama Desturi wapenda sifa wanaongezeka kila kukicha Lugha ya Taifa inapotea punde kiswanglish kimeshika kasi Hakuna kiongozi anayethubutu kukemea Haya Kazi inabaki kwa JF mwenyewe kupambana na Waasi wa Maadili ambao wanazidi kusonga mbele kuibomoa mila na desturi pasipo pingamizi kwa kweli sijui tunakwenda wapi !
 
polisi hakukutendea haki lakini maringo kwa wahaya yapo sana.sina hakika lakini nasikia kuna wahaya hujifanya bora kuliko wahaya wengine.
 
Kama wanalinga mbona wanajiuza hapa touni. Kuanzwa 1000 kwa mshindo 1 na mashoga wa kiaya wapo. Wengi hapa dar mpaka wanatuboa alafu shepu mbaya. Kama nyiti ya kibiriti juu hilo chini jembaa alafu meusi ila wapo waliojichubua ili kupata soko zaidi
 
Nilikuwa barabarani jana maeneo ya Mlandizi naendesha gari toka Moro kuja Dar. Nilikamatwa na Trafiki na kosa kubwa ni kwamba niliovertake sehemu mbaya.

Baada ya kuuliza kabila langu alionekana kukereka sana na kusema kwamba mnajifanya bush lawyers, mnajipenda sana na ndio maana mwalimu hakuwapenda.

Kusema kweli alisema mabaya kushambulia kabila langu kadri alivyoweza. Nilidhangaa kosa linatoka barabarani na kuwa kosa la kabila. Nilichukia sana kwa kuwa walikuwepo askari wengine wana bunduki niliogopa kusema lolote nistoe mwanya wa kutekeleza amri ya Pinda.

Hii imekuwa mara nyingi sana kuona kejeli na dharau za Polisi kwa kabila langu...

Haipendezi

hii inanikumbusha wimbo wa Alhamisi kuu wa katoliki "Kabila langu limekutenda niiiiniiii au limekusikitishaa niiiniii? Niijiibuu niijiibuu"
 
kosa letu kuishi katika nchi isiyo yetu..Amin alitaka kutukomboa lakini mlitung'ang'ania

mix with yours
 
Back
Top Bottom