Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

Nilikuwa barabarani jana maeneo ya Mlandizi naendesha gari toka Moro kuja Dar. Nilikamatwa na Trafiki na kosa kubwa ni kwamba niliovertake sehemu mbaya.

Baada ya kuuliza kabila langu alionekana kukereka sana na kusema kwamba mnajifanya bush lawyers, mnajipenda sana na ndio maana mwalimu hakuwapenda.

Kusema kweli alisema mabaya kushambulia kabila langu kadri alivyoweza. Nilidhangaa kosa linatoka barabarani na kuwa kosa la kabila. Nilichukia sana kwa kuwa walikuwepo askari wengine wana bunduki niliogopa kusema lolote nistoe mwanya wa kutekeleza amri ya Pinda.

Hii imekuwa mara nyingi sana kuona kejeli na dharau za Polisi kwa kabila langu...

Haipendezi

kyoma pole sana ila nadhani yule jamaa wa mla ndizi ana chuki binafsi na wahaya, last month nilipita pale wakanikamata eti spidi kubwa, i guess ni mbaba na anavaa nguo za khaki,nadhani ni vehicle inspector, akanizuia akaniambia nikamwone trafiki mwenzie pale pembeni, yule aliyekuwa amekaa kwenye pikipiki ni mdada, na jamaa alikuwa ameshika kitu kile kinachorusha vitu vizito vilivomnasa mwangosi.

nkamuuliza afande mbona hamna kibao cha spidi, akang'aka , kumbe na kibao haukuona nyuma, tunakuandikia na faini ya kutoona kibao,dah nkawa mpole, nikaona isiwe taabu...

Baada ya kuomba leseni akashtuka eti eeh kumbe mhaya eeh. Nyie mna pesa sana ebu lipa faini ya serikali pale...dah nkambembeleza akagoma, eti hamna maelezo wewe lipa tu...
baada ya kubanwa sana,nkwamwambia msinifanyie vile gari nampelekea mwenzenu akacheka sana(uwa sipendi kujitambulisha kwa kazi yangu, mimi kama mimi), wewe uko idara gani?sikupenda kuwa wazi sana nkamwambia mi dreva tu ila nampelekea field force...ile gari ilikuwa mpya haina hata namba, aksema hata kama basi nitoe ya maji maana wamekaa sana juani...akazidi kuwaka sana eti kumbe nyie ndo mnafaidi operation kimbunga!mpaka mnaanza kwenda bandarinilazma nasi tugawane....na maneno kibao... Nyie wahaya mna ela, na dharau juu,si utoe sasa uliyonayo...nkaenda kwenye droo ya gari nkatoa elfu tano....dah jamaa kukunjua akasema ,sasa afande mwandikie faini apo maana anafanya utani, sisi tuko4 tunafanyeje?dah jamaa alinikera mpaka basi...ila kwa kuwa hata mimi sitaki kuwapa mafisadi faida, nkaongeza 5 ili mambo yaishe....
Nkasepa ila kitu kilichonisumbua safari nzima ni kwa nini jamaa alishambulia sana kabila wakati kanikamata mimi kama mimi?KUMBE INAWAPATA WENGI EEH? JAMANI AFANDE WALIOPO JF WAAMBIE WENZENU WAHAYA NI KAMA WATU WENGINE TU , TABIA AU UWEZO WA MTU SIO WA KABILA JAMANI......
 
na we ulimwambia kabila lako lanin manake hakuna uhusiano wowote kat kabila na sheria za balabala nahis wewe ni mkabila tena kunauwezekano ulijisifu wewe ni muhaya tena ni lawyer ni vizur kuheshim kaz za watu....i hate ukabila ndo maana ukiniuliza kabila langu nan ntakujibu nyerere...

mkuu wala kabila hakuulizi...leseni yako inakushtaki....
Huwezi kudanganya wewe mkurya wakati jina ni mwambalawa, mwakatobe, lusajigwa,lusajo ...tayari apo ni mtu wa mbeya....
 
Kwenye notification sheet ya makosa barabarani kuna sehemu ya kujaza kabila lako.

Si kosa la trafiki, ndo sheria zetu.

imeandikwa umri , kabila....ila wengine huwa hatufiki uko wakati faini isiyo na risiti ni elfu 5 mpaka 9,000/= baada ya kujichekesha chekesha....mnaagana kiaina...iki kitu kidogo cjui kama kitakujaga kuisha kinarahisisha sana
 
Nilikuwa barabarani jana maeneo ya Mlandizi naendesha gari toka Moro kuja Dar. Nilikamatwa na Trafiki na kosa kubwa ni kwamba niliovertake sehemu mbaya.

Baada ya kuuliza kabila langu alionekana kukereka sana na kusema kwamba mnajifanya bush lawyers, mnajipenda sana na ndio maana mwalimu hakuwapenda.

Kusema kweli alisema mabaya kushambulia kabila langu kadri alivyoweza. Nilidhangaa kosa linatoka barabarani na kuwa kosa la kabila. Nilichukia sana kwa kuwa walikuwepo askari wengine wana bunduki niliogopa kusema lolote nistoe mwanya wa kutekeleza amri ya Pinda.

Hii imekuwa mara nyingi sana kuona kejeli na dharau za Polisi kwa kabila langu...

Haipendezi

Wewe ni kabila gani?lazima utupe details zako zite ili tujue tutakusaidia kivipi
 
Kwanza Nakupa Pole sana Mtani Wangu na Nimejisikia Vibaya mno Kwa Huyo Askari alivyokufanyia hivyo na Sidhani Kama ni Kweli ni Mtu wa Mara na Japo Mimi Siyo Mkurya bali ni Mzanaki Halisi ila Nijuavyo Mimi Kama Angekamatwa kweli na Askari Mwenye Asili Ya Mkoani Mara Kamwe Asingefanyiwa Yote Hayo Kwani Kimila huwa Tunatakiwa kuwapenda, kuwajali na kuwaheshimu sana Watani na Mimi binafsi huwa Nafurahi sana Nikimjua Mtu ni MHAYA( KAGERA), MUHA( KIGOMA), MNYATURU( SINGIDA) na MRANGI( KONDOA) Kwani Wote hao Kiasili ni Watani Zetu Sisi Watu wa Mkoani Mara. Sijafurahishwa na Remarks za Mjumbe Mmoja Kuwa Nyerere Aliwakataa Wahaya hiyo Umeitoa tu Wewe Unakokujua na Usilete Chuki hapa Kati Yetu na Watani Zangu Wapendwa Wahaya na Kwa Niaba Ya Watu wa Mkoani Mara Nawaomba Radhi Wahaya Wote Kama Kauli za Huyo Mjumbe Kuhusu Nyerere Zimewakera au Kuleta Usumbufu Kwenu. Labda Kidogo tu Niwatetee Wahaya na Ukweli ni Kwamba Hawaringi ila Ninachokijua ni Kwamba Wengi Wao Hawapendi Mambo Ya Kijinga na Kipuuzi na Wanapenda sana Kufungamana na Watu ambao Wana Akili za Kimaisha na za Kimaendeleo na Hata Tubishe Vipi Historia tu Yenyewe inawapendelea Wahaya Kwani mara baada tu Ya ile Scramble and Partion of East Africa British Empire ilikamata Sana Nchi hizi mbili Kenya na Uganda na Sisi Tukakomaa na Mijerumani ambayo Ilikuwa Inawapelekesha Sana Mababu Zetu ktk Mashamba Ya Mkonge na Utumwa Mwingine huku Waingereza wa Kenya na Uganda Waliona Jambo la Kwanza ni Kuwapa Elimu wale Natives Kitu ambacho Kiliamsha hamasa Ya Kupenda Elimu Kwa Waganda ambao Kijiografia wapo sana karibu na Mkoa wa Kagera na Kiasili Waganda na Wahaya Wanafanana Vitu Vingi tu Kuanzia Lugha, Tamaduni na hadi Vyakula. Kitendo cha Waingereza Kuanzisha Shule Nyingi nchini Uganda kiliwafanya Wazee Wengi wa Kihaya Kupeleka Watoto wao Nchini Uganda ambapo Wengi Wao Walifaidika Sana na Elimu na Hakika Wahaya Kweli Wengi Wao Wamesoma na Wana Mwamko wa Kupenda Kusoma. Kama ni Suala la Kuringa hivi kuna Watu Wanaoringa, Kujisikia na Jeuri Kama Watu wa Mkoa Unaoongoza kwa UKIMWI Sasa? au Watu wa Mkoa ambao Unaongoza kuwa na Shule Nyingi za Sekondary Tanzania? au Kisiwa alichotokea Rais wa Kwanza Mwanamke wa Bunge la Afrika? au Wasukuma Tena wa Geita na Wanyantuzu? Muwaache Tafadhali Watani Zangu Wahaya. Wakora Waitu!
 
Wahaya mnapenda kujisifia ulitaka tujue unaendesha gari, toka ndani ya moyo wangu hawa jamaa siwapendi kabisa kazi kujisifia tu.
 
ole wako upelekwe kituo cha polisi ukute polisi wote ni wahaya na mlieshtakiana ni mhaya ndio utajua bukoba na tanzania wapi mbali
 
Kaka hio issue ya kabila ni gia tu, next time waambie wewe ni msukuma au mnyakyusa, na hilo jina la leseni wambie ni la babu mzaa mama, bado watakubana eti nyie wasukuma ndio mnamadini,mafyeza,etc etc

ila huwa sikubali kulipa fine barabarani maana yeye askari si cashier na hio form yao unatakiwa ukubali kosa au ukatae, ukikubali basi unatakiwa ukalipe hio fine kituoni ndani ya siku kumi na upewe risti, na ukikataa kosa basi anatakiwa akupeleke mahakamani ndani ya siku kumi, naamini na wao hawataki usumbufu hivyo huwa tunamalizana hapo hapo wanashindwa mie nashinda
kyoma pole sana ila nadhani yule jamaa wa mla ndizi ana chuki binafsi na wahaya, last month nilipita pale wakanikamata eti spidi kubwa, i guess ni mbaba na anavaa nguo za khaki,nadhani ni vehicle inspector, akanizuia akaniambia nikamwone trafiki mwenzie pale pembeni, yule aliyekuwa amekaa kwenye pikipiki ni mdada, na jamaa alikuwa ameshika kitu kile kinachorusha vitu vizito vilivomnasa mwangosi.

nkamuuliza afande mbona hamna kibao cha spidi, akang'aka , kumbe na kibao haukuona nyuma, tunakuandikia na faini ya kutoona kibao,dah nkawa mpole, nikaona isiwe taabu...

Baada ya kuomba leseni akashtuka eti eeh kumbe mhaya eeh. Nyie mna pesa sana ebu lipa faini ya serikali pale...dah nkambembeleza akagoma, eti hamna maelezo wewe lipa tu...
baada ya kubanwa sana,nkwamwambia msinifanyie vile gari nampelekea mwenzenu akacheka sana(uwa sipendi kujitambulisha kwa kazi yangu, mimi kama mimi), wewe uko idara gani?sikupenda kuwa wazi sana nkamwambia mi dreva tu ila nampelekea field force...ile gari ilikuwa mpya haina hata namba, aksema hata kama basi nitoe ya maji maana wamekaa sana juani...akazidi kuwaka sana eti kumbe nyie ndo mnafaidi operation kimbunga!mpaka mnaanza kwenda bandarinilazma nasi tugawane....na maneno kibao... Nyie wahaya mna ela, na dharau juu,si utoe sasa uliyonayo...nkaenda kwenye droo ya gari nkatoa elfu tano....dah jamaa kukunjua akasema ,sasa afande mwandikie faini apo maana anafanya utani, sisi tuko4 tunafanyeje?dah jamaa alinikera mpaka basi...ila kwa kuwa hata mimi sitaki kuwapa mafisadi faida, nkaongeza 5 ili mambo yaishe....
Nkasepa ila kitu kilichonisumbua safari nzima ni kwa nini jamaa alishambulia sana kabila wakati kanikamata mimi kama mimi?KUMBE INAWAPATA WENGI EEH? JAMANI AFANDE WALIOPO JF WAAMBIE WENZENU WAHAYA NI KAMA WATU WENGINE TU , TABIA AU UWEZO WA MTU SIO WA KABILA JAMANI......
 
Wahaya mnapenda kujisifia ulitaka tujue unaendesha gari, toka ndani ya moyo wangu hawa jamaa siwapendi kabisa kazi kujisifia tu.

Hauwezi wapenda watani wako...hahahhaha molembe = salama?
 
nilikuwa barabarani jana maeneo ya mlandizi naendesha gari toka moro kuja dar. Nilikamatwa na trafiki na kosa kubwa ni kwamba niliovertake sehemu mbaya.

Baada ya kuuliza kabila langu alionekana kukereka sana na kusema kwamba mnajifanya bush lawyers, mnajipenda sana na ndio maana mwalimu hakuwapenda.

Kusema kweli alisema mabaya kushambulia kabila langu kadri alivyoweza. Nilidhangaa kosa linatoka barabarani na kuwa kosa la kabila. Nilichukia sana kwa kuwa walikuwepo askari wengine wana bunduki niliogopa kusema lolote nistoe mwanya wa kutekeleza amri ya pinda.

Hii imekuwa mara nyingi sana kuona kejeli na dharau za polisi kwa kabila langu...

Haipendezi

naunga mkono maneno ya polisi kwa kuwa umekiri mwenyewe kuwa uliovertake sehemu isiyoruhusiwa, wewe ulitegemea nini, unataka kusababisha ajali kwa sababu ya kuwahi starehe zako
 
Waitu,
Polisi mbona ni watani zako omwami Mbuli? Umesahau kuwa polisi na gesh ndio porofesheno kuu ya wale wajukuu zenu wa pande za kanda maalumu?

Ungezungumza nao kama mtani wao mungeelewana tu, usiogope bunduki zao zile ni vifaa vya kazi kama vile nyie kina nshomire mnavyotumia hizo kalamu kuwekea saini kwenye madokomenti.

Shumaramu waitu.

We koma kabisa mura, hapo umeandika habati mbaya, sisi ndo mababu
 
Wahaya mnapenda kujisifia ulitaka tujue unaendesha gari, toka ndani ya moyo wangu hawa jamaa siwapendi kabisa kazi kujisifia tu.
Siyo kujisifia tu bali wana Roho mbaya,Wabaguzi,wanadharau,wanaona watu wa makabila mengine kama siyo watu hata kama wamewazidi,watetaji ndiyo maana kila wakati wanaongea Kihaya hata kwenye kadamnasi.
 
Siyo kujisifia tu bali wana Roho mbaya,Wabaguzi,wanadharau,wanaona watu wa makabila mengine kama siyo watu hata kama wamewazidi,watetaji ndiyo maana kila wakati wanaongea Kihaya hata kwenye kadamnasi .
Wahindi wakiongea Kihindi sio kosa ila wahaya wakiongea kihaya wanaringa. Bado hiyo ni chuki tu. Hivi kama mtu anaringa na mwingine anamchukia anaeringa. Nani mwenye kosa
 
Back
Top Bottom