Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

Si kweli polisi si Wakurya siku hz polisi ni mseto kabla zote wamo tena wachaga na wengi sana Wakurya wengi walikuwa wanajeshi Nao Pia huko wamepungua sana kwani nako kuna Mseto wa makabila

Yaa u a ryt mkuu
Sikuhizi wachaga wengi ndo mapolisi
 
Halafu unakuja humu kulalamika!!??:shocked:. Hiyo sababu ya wewe kuwa Muhaya na kuchukiwa na Polisi ni UONGO NA UZANDIKI MKUBWA. Na hapo unapomsingizia Mzee Wetu Baba wa Taifa....Kama hakuwapenda ungefika hapo ulipo mpaka unaweza kuendesha gari na kuandika Utumbo JF!!?? Acha Umburula wewe Bwenga.

Bora umesema. Anataka kumtupia Mwalimu lawama.🙄
 
kwanini usiamue moja kubadilisha kabila yaishe
 
wahaya 2taendelea kuwa juu hongeren xana wahaya wote na polen wasokuwa wahaya by KYOOOOMAAAA!
 

Attachments

  • KAH.jpg
    KAH.jpg
    13.2 KB · Views: 506
wahaya 2taendelea kuwa juu hongeren xana wahaya wote na polen wasokuwa wahaya by KYOOOOMAAAA!

Na hii imekaaje watani zangu kina NSHOMILE MUNO, si mtakuwa kama wanyamahanga kwa kula ugali baada ya migomba yenu kpigwa na mnyauko
 

Attachments

  • 1393311173850.jpg
    1393311173850.jpg
    67.9 KB · Views: 162
Kinachowaponza wahaya ni kujifanya wanajua kila kitu(bushlawyers) na wale polisi wakishajua wewe mhaya na umefanya kosa dah utabanwa kwelikweli maana ukiachiwa ukose pakakukimbilia kwani wanajua wakikuacha kirahisi rahisi tu utawaharibia coz wewe ni bushlawyers
 
Back
Top Bottom