Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

Very sad !! ivo ubaguzi hata kwa wenyeji.??. M mmh Nilidhani mie tuu kumbe kulikoni!! Lakini Km'mayezao siku hizi nawajibu ilembaya !! naona wamezidi imefikia pabaya.
 
kweli kabila lenu linamatatizo sasa umekuja kulalamika nini hapa kama wewe ndio mwenye makosa
 
Kuhulizwa kabila ni swali la kipolisi. Swali hilo huwasaidia hao watumishi wa setikali kubahini tabia za waarifu wao wakiwshusisha na hayo waliyofundishwa. Ni askali tu wanaruhusiwa kuhuliza ilo swali ila raia kwa raia mnatufuta ukabila
 
Siyo kujisifia tu bali wana Roho mbaya,Wabaguzi,wanadharau,wanaona watu wa makabila mengine kama siyo watu hata kama wamewazidi,watetaji ndiyo maana kila wakati wanaongea Kihaya hata kwenye kadamnasi.

Unajuaje mtu kakuteta wakati huelewi wanachoongea? Wewe ni Ke au Me?
 
kwani mkubwa neno overtake halina msamiati au neno la kiswahili mimi nadhani mbwembwe nyingi labda hata kabla hajapata taarifa za kumjulisha wewe ni mhaya ulianza kwa misamiati ya kiingereza mingi sana na ikamchosha hata mimi sikulelewa mwanzoni kuoveratake ni nini......tena kwakuwa askari wetu ni wasomi wakakwazika.
Ni hatari sana kumpa kitu kinachotoa vitu vyenye ncha kali watu ambao hawajasoma. Madhala yake ndio kama hayoi unayoyasikia everyday
 
kweli kabila lenu linamatatizo sasa umekuja kulalamika nini hapa kama wewe ndio mwenye makosa

ajabu kweli, yn mwenye makosa ndio kaja kushitaki..wahaya bwn mi kiukweli siwapendi, majidai mengiiiiiii..lzma atakuwa kamletea polisi maprosoo tu ndio maana polsi nao wakamgeuzia kibao, sidhan mtu na akili zake akaanza tu kukusakama frm no where..
 
Unakuwa kama huwajui vema hao polis wako. Kama kweli wao ni namba moja kwa kubambika kesi na kugeuza uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo watashindwa nini kukuletea maprosso wao wenyewe hata kabla hujaleta wa kwako. Kwa ujumla jeshi letu la polis linahitaji ukarabati mkuwa sana.
 
Kaka hio issue ya kabila ni gia tu, next time waambie wewe ni msukuma au mnyakyusa, na hilo jina la leseni wambie ni la babu mzaa mama, bado watakubana eti nyie wasukuma ndio mnamadini,mafyeza,etc etc

ila huwa sikubali kulipa fine barabarani maana yeye askari si cashier na hio form yao unatakiwa ukubali kosa au ukatae, ukikubali basi unatakiwa ukalipe hio fine kituoni ndani ya siku kumi na upewe risti, na ukikataa kosa basi anatakiwa akupeleke mahakamani ndani ya siku kumi, naamini na wao hawataki usumbufu hivyo huwa tunamalizana hapo hapo wanashindwa mie nashinda

bdo nimejaribu technique yako it works...juzi nilitokea Musoma kuptia makuyuni kuja kutokea arusha , gari yangu ina rangi ya silver ila ina mkanda katikati ni wa green. Nlipofika makuyuni askari wa barrier wakanikamata. Toa leseni, nikampa, toa kadi ya gari nikampa,dah akaona hapa inakuwaje, jamaa kavuka barabara kakaa upande wa kulia wakati mimi niko kushoto kuelekea mjini arusha.....afande akakaa kwenye benchi anastai kadi utadhani kapewa homework...baada ya muda kama dakika5 nzima akasema kwa sauti dreva njooo...nikaenda

akaniambia una ela ya faini elfu30? nkamwambia ya nini, akasema eti kadi imeandikwa rangi moja wakati gari yangu ina rangi mbili, dah akazidi kunikasrisha na muda nshapoteza...fikiria dakika5 mpaka 7 nakuwa nimecover kilometa nyingi tu...nkamwambia afande sio kosa langu, iyo gari ni mpya na nimeipitisha hatua zote bandarini na tra wakaissue kadi, kama ni kosa sawa ila andika faini niwapelekee TRA maana ndio wamekosea, afande akakomaa eti lazma faini ilipwe pale, nkwamwambia si lazima nitoe pesa maana ilo kosa tutalodge claim tra wawe responsible. Akabisha eti ni kosa langu kwa nini sijakagua kadi na kuikataa kuwa sio rangi ya gari yangu...nkwamwambia ok ni kosa ila aliyekosea ndo apewe adhabu...nilikaa pale kama nusu saa ivi mpaka mabishano yakawa makali, kuna askari mdada pale makuyuni, ni mnene ivi mweupe ndo akamaliza soo na nikapewa kadi bure nikasepa, afande akawa anamind, uyu jamaa mjeuri , kama alikuwa hana ela si angesema tukamsaidia bure, na kadi nakurudishia bure sitaki hata mia yako....kimoyo moyo nkasema hata iyo mia ulivonisumbua nisingetoa...afande wa makuyuni nlimkariri, ni mfupi mweusi, mnene kiasi na anaongea besi utadhani kalewa...

Bdo jeuri ulilonipa nililitumia vizuri, nligan'ana kuwa kama ni faini waandike ila atalipa tra na si mpaka nilipe pale pale, nikaondoka kilaiiiiiniiiiii!!!!!!!!!
 
ajabu kweli, yn mwenye makosa ndio kaja kushitaki..wahaya bwn mi kiukweli siwapendi, majidai mengiiiiiii..lzma atakuwa kamletea polisi maprosoo tu ndio maana polsi nao wakamgeuzia kibao, sidhan mtu na akili zake akaanza tu kukusakama frm no where..

ujue unaweza kumchukia mtu bure, waweza kuhisi ana amringo iola ukimsikilza ndo utajua shida yake, usiwe na chuki za kiivo ndugu....
 
Acha umburula,unafanya makosa barabarani alafu unawasingizia uongo polisi,Hiyo ni tabia mbaya na uache majungu
 
asilimia kubwa ya wahaya mnapenda sifa dharau kwa sana roho mbaya, inawezwkana alionyesha dharau kwa trafic
 
Ushauri tu kwa wahaya na. Wachaga tojea kuzijua au kuzisikia kabila hizi ni kwa mabaya mudomoni kwa wa tz ushauri wangu bora mujitege
 
mkuu Gsana,nimechelewa kusoma post yako, ila hio dawa yao hao jamaa, iwapo madereva wote tutafanya hivi basi nao watakuwa serious, please musoma ulienda kutafuta nini? ukienda tena huko nijulishe nikutume
bdo nimejaribu technique yako it works...juzi nilitokea Musoma kuptia makuyuni kuja kutokea arusha , gari yangu ina rangi ya silver ila ina mkanda katikati ni wa green. Nlipofika makuyuni askari wa barrier wakanikamata. Toa leseni, nikampa, toa kadi ya gari nikampa,dah akaona hapa inakuwaje, jamaa kavuka barabara kakaa upande wa kulia wakati mimi niko kushoto kuelekea mjini arusha.....afande akakaa kwenye benchi anastai kadi utadhani kapewa homework...baada ya muda kama dakika5 nzima akasema kwa sauti dreva njooo...nikaenda

akaniambia una ela ya faini elfu30? nkamwambia ya nini, akasema eti kadi imeandikwa rangi moja wakati gari yangu ina rangi mbili, dah akazidi kunikasrisha na muda nshapoteza...fikiria dakika5 mpaka 7 nakuwa nimecover kilometa nyingi tu...nkamwambia afande sio kosa langu, iyo gari ni mpya na nimeipitisha hatua zote bandarini na tra wakaissue kadi, kama ni kosa sawa ila andika faini niwapelekee TRA maana ndio wamekosea, afande akakomaa eti lazma faini ilipwe pale, nkwamwambia si lazima nitoe pesa maana ilo kosa tutalodge claim tra wawe responsible. Akabisha eti ni kosa langu kwa nini sijakagua kadi na kuikataa kuwa sio rangi ya gari yangu...nkwamwambia ok ni kosa ila aliyekosea ndo apewe adhabu...nilikaa pale kama nusu saa ivi mpaka mabishano yakawa makali, kuna askari mdada pale makuyuni, ni mnene ivi mweupe ndo akamaliza soo na nikapewa kadi bure nikasepa, afande akawa anamind, uyu jamaa mjeuri , kama alikuwa hana ela si angesema tukamsaidia bure, na kadi nakurudishia bure sitaki hata mia yako....kimoyo moyo nkasema hata iyo mia ulivonisumbua nisingetoa...afande wa makuyuni nlimkariri, ni mfupi mweusi, mnene kiasi na anaongea besi utadhani kalewa...

Bdo jeuri ulilonipa nililitumia vizuri, nligan'ana kuwa kama ni faini waandike ila atalipa tra na si mpaka nilipe pale pale, nikaondoka kilaiiiiiniiiiii!!!!!!!!!
 
Nilikuwa barabarani jana maeneo ya Mlandizi naendesha gari toka Moro kuja Dar. Nilikamatwa na Trafiki na kosa kubwa ni kwamba niliovertake sehemu mbaya.

Baada ya kuuliza kabila langu alionekana kukereka sana na kusema kwamba mnajifanya bush lawyers, mnajipenda sana na ndio maana mwalimu hakuwapenda.

Kusema kweli alisema mabaya kushambulia kabila langu kadri alivyoweza. Nilidhangaa kosa linatoka barabarani na kuwa kosa la kabila. Nilichukia sana kwa kuwa walikuwepo askari wengine wana bunduki niliogopa kusema lolote nistoe mwanya wa kutekeleza amri ya Pinda.

Hii imekuwa mara nyingi sana kuona kejeli na dharau za Polisi kwa kabila langu...

Haipendezi

"Wapigwe tu!! "Na polisi wa Tanzania walivyowapuuzi watatumaliza,afadhali ulinyamaza,ungeleta ule ubishi wa kihaya ingekuwa shida.
 
Halafu unakuja humu kulalamika!!??:shocked:. Hiyo sababu ya wewe kuwa Muhaya na kuchukiwa na Polisi ni UONGO NA UZANDIKI MKUBWA. Na hapo unapomsingizia Mzee Wetu Baba wa Taifa....Kama hakuwapenda ungefika hapo ulipo mpaka unaweza kuendesha gari na kuandika Utumbo JF!!?? Acha Umburula wewe Bwenga.
Sasa wewe ndo umeandika nini hapa??wewe ni afande nani??walewale!!!:majani7:
 
asilimia kubwa ya wahaya mnapenda sifa dharau kwa sana roho mbaya, inawezwkana alionyesha dharau kwa trafic

Wahaya kwa asilimia kubwa wana Maringo,dharau na mapungufu kadhaa japo wapo Wahaya baadhi ni watu poa sana ambao hukesha wakiwaombae wahaya wenzao wabadilike waje ktk Misingi ya kukubalika na makabila mengine Ebu tizama hata wale wenye chembe chembe za Uhaya Kama akina Mama Rwakatare wanawapora masikini viwanja nk Wahaya sasa mbadilike muungane na wale wahaya wajanja wema ambao tayari wapo Digtal kiustaarabu angalau hii dhana ya kuonekana mpo kinyume na wengine itatoweka .
 
ajabu kweli, yn mwenye makosa ndio kaja kushitaki..wahaya bwn mi kiukweli siwapendi, majidai mengiiiiiii..lzma atakuwa kamletea polisi maprosoo tu ndio maana polsi nao wakamgeuzia kibao, sidhan mtu na akili zake akaanza tu kukusakama frm no where..

80%ya wahaya wana maringo na wanapenda Kingereza wao ni Ufahari kuzungumza Kiswanglish Lakini 20% ni wasitaarabu hawapendi makuu hawapendi sifa wanakereka sana na Tabia za wenzao wanatamani Pinda atoe Amri ya kuchapa viboko wale wote wanaoendekeza vijitabia Vibovu
 
Back
Top Bottom