Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

tunahongwa.......

mbona hata chief kiumbe anahonga wa kiume sembuse wa kike? mwanaume yoyote yule akitaka kujifananisha na mwanamke basi ujuwe hana akili.

by the way mbona gari sasa hivi ni kitu basic tu? land Lord heshima yetu itabaki juu daima, maana mimi siku hizi hata gari saa nyingine naona inanizinguwa tu kuwahi appointment ni mwendo wa bodaboda gari naliacha.
 
mbona hata chief kiumbe anahonga wa kiume sembuse wa kike? mwanaume yoyote yule akitaka kujifananisha na mwanamke basi ujuwe hana akili.

by the way mbona gari sasa hivi ni kitu basic tu? land Lord heshima yetu itabaki juu daima, maana mimi siku hizi hata gari saa nyingine naona inanizinguwa tu kuwahi appointment ni mwendo wa bodaboda gari naliacha.

siku hizi foleni balaa...... unaweza Ku stuck kwenye foleni kwa hours....
 
siku hizi foleni balaa...... unaweza Ku stuck kwenye foleni kwa hours....

hii ndio kero kubwa na ndio sababu ya vigari vinavyoonekana vya kike kupata market kubwa, maana imagine juwa linawaka inabidi upate unyunyu wa ac na gari iko on for some hours.
 
ukiwa na malengo na ukatia juhudi kwenye malengo yako lazima upate ukitakacho,wewe zubaa utaendesha gari uzeeni
 
mwalimu wangu wa o-level aliniambia kuwa usijeshindana na mwanamke huku akionyesha maeneo ya maziwa. ndugu husioji aisee. wao wana vyanzi vingi vya mapato, we chako kimoja na ukikitumia tu aibu kwa jamii.
 
Mkuu hilo swali ni la msingi kabisa lakini ukifikiria majibu yake wala hayako mbali, binafsi nilikuwa na girlfriend alikuwa anafanya kazi radio fulani hapa dar, mshahara wake nilikuwa naufahamu ulivyokuwa kiduchu, maisha ya kwao nayafahamu yalivyokuwa ya kawaida maana wazazi wake hawakuwa na hata bajaji, elimu yake ilikuwa ya kawaida kabisa,ila uzuri usipime..... siku moja tukiwa tumekaa sehemu akaniambia ana mpango wa kununua gari nikamuambia hata mimi hizo ndoto ninazo, akaniambia sio ndoto bali ndani ya mwezi huu hiyo ilikuwa mwaka 2007, kama masihara vile baada ya muda wa wiki naona mdada anatembea huku amekaa (ana gari) nikachoka nikajua hapa lazima nimesaidiwa matunzo na wanaojua.........so ndugu yangu we nyamaza jifanyie kazi wala usishindane nao, wengine ni ya urithi kama ulivyoambiwa, wengine wana elimu nzuri na kazi nzuri, wengine kutoka kwa wazazi wengine wala usiuilize.
 
Gari kama range ni zaidi ya Mil 60, kwa umri wa below 30, kweli inakuta umeshapata mapato hadi unanunua laxurius goods? Hapana ndugu!
Watu wanarithi,wanahongwa,ya baba zao,waume zao,babu zao,......Watu tunatofautiana sana cha muhimu ni kukubaliana na hali halisi na kuzidi kuzisaka kwa bidii
 
Mkuu maisha ya watu ni zaidi ya uyaonavyo!
Mi kuna rafki angu nilimuuzia dili ya kuliwa ndogo na muhind mmoja hivi Mwanza, sa hivi mwenzangu anaendesha gari kali balaa, mi nmebaki na kigari changu ki-- ( cikitaji) ukizingatia ni mwaka wa 3 tupo kazini na mishahara ndio hii unayoijua wewe!
 
tunahongwa.......

hahahaha kweli leo huna mchezo. Il kiuhalisia na utafiti uliofanywa sehemu mbalibali duniani wanawake wapo tofauti sana na wanaume hasa kwenye nini kianze kwanza. Hata kwa wale wanawake waliopo kwenye ndoa ni hivyo hivyo. Utafiti unaonyesha kwamba kitu cha kwanza na ambacho mwanamke anakipa thamani na kukipenda kuliko vyote duniani ni "GARI" ikifuatiwa na ndugu zake. Namba tatu ni mwanaume.. msishangae sana hapa huu ni ukweli halisi. Huu Hata mwanamke akiwa ameolewa hivi ndiyo maisha yake yalivyo. Wakati vijana wengi wa kiume chini ya miaka 30 wanahangaika na kujiweka sawa kiuchumi ishu ya gari kwao haipewi kipaumbele na hata kama wanaipa basi utasikia ananunua gari ya biashara kama taxi, bajaj nk ili mradi tu iweze kumuingizia kipato zaidi. Ni kipindi hiki wanaume wengi wanahangaika kuwa na viwanja, mashamba, nk .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom