comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,708
- 18,002
Nyege tuu hizo
Yani nikihonga laki 5 ujue akaunti ina zaidi ya 50m vinginevyo n mwendo wa wekundu tano🤣🤣🤣🤣🤭
Dhambi hizo mkuuYani nikihonga laki 5 ujue akaunti ina zaidi ya 50m vinginevyo n mwendo wa wekundu tano
Dhambi kumpa mtu kadri ya uwezo wako?Dhambi hizo mkuu
Kubwa sana, inatakiwa upambane for herDhambi kumpa mtu kadri ya uwezo wako?
hatutakiwi kuweka watu kwenye makundi ila ni ngumu mda mwingineNguo umeisingizia tu we ukiona combo ya Nyama nyingi, vipini, bleach & iphone na makoro makoro yenye ufanano huo jua tu huyo binti kichwani ni window 7
90 si pair 3? @30000😹😹 Yaan mwamba we huoni 90 apo au
Ndio amenikazania kariakoo chini ya apo💔90 si pair 3? @30000
Mkuu, hapo udenda utakutokaje? maana yupo sawa na punda milia aliye simama tu.Ukute ni pisi kali,afu ikupigie kisuruali kama hicho,lazima utoe udenda asee.
Wewe ni kibonge Mayele?Ata wale vibonge wanapendeza nianze kuvaa😎
Ndio kiongoziWewe ni kibonge Mayele?
Kumbe zina mahips kabisaHizo cargo ukikuta mwanamke kavaa hajaonekana mnene kama malaika usichukue mana zinaboost mahips balaa ndo mana wanazipenda
Nitafurahi mno babee.