Hivi vijana wengine mnaharakisha nini kuoa?

Hivi vijana wengine mnaharakisha nini kuoa?

Mtotoo akililia wembe muache umkatee,atapopata vidonda ndipo atapouogopa...Chidumule na Sikinde miaka ilee..muache aoe tu.tumtombeeee..jinga Sana.
 
Mwambie ungependa kuongea nae yeye na huyo mtarajiwa.panga siku amlete.kisha kaa na mumeo(wakati huo mshakubaliana na mume) wape somo pana la mapenzi na ndoa.wakitoka hapo ata kusimamisha asimamishi.

pili muulize kama mwenza ana ujauzito kumuoa sio busara maana atabeba majukumu ni kukubaliana na upande wa binti ili angalau wasaidiwe mahitaji yaan muea treat kama watoto ata kama watakuwa na mtoto.

Tatu supplimentary zina muita kama sio disco chezae mke bila pesa
 
sisi wa kristo tunaamini kuna funzo Mungu alikusudia kuwapa wana wa israel pale alipokuwa akiwatoa katika nchi ya misri utumwani kuelekea kaanani nchi ya ahadi. kwa jiografia ya eneo lile ingewachukua takribani wiki moja kufika kaanan lakini walitumia miaka 40. mungu alitaka kuwafunza alitaka kuwaondea moyo wa kibuli. Ndivyo ilivyo safari ya maisha yetu kuna wakati sehemu ya kufikia kwa mwaka tunatumia miaka na miaka sio kwasababu Mungu hapendi lakini kuna vitu ambavyo anahitaji tusiwe navyo kuna makosa tunafanya hata kama ukisamehewa makovu huwa hayafutiki. ukweli ni kwamba sio kila tulalolitaraji katika maisha yetu litaenda kama tulivyo tegemea na hapa wengi ndo huwa tunakosea. watoto wanamuogopa mume wako wanamjua wanakujua umewalea katika malezi ya kubebwa sana mzazi wa kiafrika mtoto huwezi kuwa na ujasiri huo. mimi ni mtoto am 2 yrs above you son but trust me unaonekanaa mama angu mdogo uko too democratic mtoto ni mtoto tu wewe ndo umemlea akionyesha hiyo tabia kuna somewhere na wewe ulikosea katika kuwalea i feel so sorry kijana wa 21 yrs kuwaza kuleta mwanamke Nyumbani it is shameful na usimchukue kaa mtoto nowdays watu wanawahi kubalee watu wanawahi kufa sikuhizi watu wanakuwa mapema ukikuta 21 yrs old ana save na kuwa na hata 2m hana kiwanja hana kibiashara there you have raise question. am sorry mumy kusema kuwa watu kama wewe ni muhimu kuwepo duniani sababu watu wenye moyo kama wako wasingekuwepo hakik wajinga na wapumbavu wangepat shida kuishi dunia hii lakini kwakuwa watu kama wewe mpo Mungu anawapa pumzi wana survive kupitia migongo yenu na maisha yanakuwa fairly balanced equation loss=gain. ila usiumie sababu watu kama hao lazima wawepo ili werevu wa survive hatuwezi wote tuwe matajiri nani atamtumikia mwenzie. Mgonjwa akiumwa doctor hashangiliii hadharani ila kimoyo moyo amepata kula yake. Angalia usije ukawa una struggle na curse za wazazi wao

Kijana wa miaka 23 una hekima hivi?? shkamoo mdogo wangu. Wana wa israel walikuwa vichwa ngumu. Musa alikuwa mkali na wakati mwingine walimchukia. Na walipolikoroga walikuwa wakirudi kwa Musa kuomba awasaidie kumlilia Mungu. Huyu mama atoe msimamo wake na asishiriki kwenye mipango ya kijana wake. Kijana huyu ataenda kote ila atarudi kwa mama yake. Waliosema mtoto akililia wembe mpe au asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu walipitia mambo kama haya. Kuna wakati hata utishie kuvua nguo mbele ya mtoto habadilishi msimamo. Unachofanya ni kumuacha akajifunze kupitia njia ngumu. Kuna kitu kikubwa sana atajifunza. Huyu dada kama ana imani aombe tu nguvu na ulinzi wa Mungu. Huu ni wakati wa kutafuta uso wa Mungu maana hapa sioni kama kuna tegemeo lingine.

Kinachoniumiza kichwa zaidi ni huyo mke mtarajiwa. Kama kijana ana miaka 21 huyo mwenzie ana mingapi na tayari ana mtoto wa miaka miwili. Wa nani huyo mtoto? nani atamlea? Binti ana anadai kuna mtu mwingine kwenye foleni....yeuuuuuwi
 
Mwambie ungependa kuongea nae yeye na huyo mtarajiwa.panga siku amlete.kisha kaa na mumeo(wakati huo mshakubaliana na mume) wape somo pana la mapenzi na ndoa.wakitoka hapo ata kusimamisha asimamishi.

pili muulize kama mwenza ana ujauzito kumuoa sio busara maana atabeba majukumu ni kukubaliana na upande wa binti ili angalau wasaidiwe mahitaji yaan muea treat kama watoto ata kama watakuwa na mtoto.

Tatu supplimentary zina muita kama sio disco chezae mke bila pesa

umeongea point aiseee......afwate ushauri wako....
 
Nimdogo sana he is just 21 anaoa nini? kazi hana analishwa anavishwa pesa ya matumizi pia anapewa huyo ni mumekweli?

Only 21 dah vijana hawa tatizo ni nini? Imeniuma saana kwanza hyo hajakua kia akiri ana hitaji mcmamo wako kwa sasa tafadhari kwa gharama yoyote muokoe ucjari chuki yake kwa sasa ila naimani ipo cku atakushukuru saana so don't give up please okoa jahazi hlo linazama
 
Kijana anataka ku secure territory first

muacheni aoe halafu yakimshinda binti arudi kwao

itakuwa so much easier.....hasa binti akirudi na mimba au mtoto

wote watakua wamejifunza life siolelemama
 
Yaani kijana aoe afu aje kuishi kwangu na mkewe? Ningemfurumusha huyo kijana kama simjui. Mwanaume gani anataka kuoa wakati anaishi kwa mwanaume mwenzie? Uswahili huo

Hawa watoto wanatazama sana tamthilia aisee
hawana reality ya life kabisa
 
Jitahidi kumshauri pia onana na huyo girlfriend wake. Kwa umri huo, anatafuta matatizo. Nafikiri anahitaji miaka 6-10 kufikiria suala la kuoa otherwise hizo ni dalili za divorce za kesho kutwa tu.
 
Sasa ndo mambo ya tamthilia alete kwangu? Yebooo. Halafu namshangaa zaidi mume wa huyu dada kwa akili yake. Siku zote mkiishi na ndugu wadogo ama watoto wenu binafsi, na mkaacha kureason pamoja lazma muharibikiwe. Dawa ya kijana kama huyu kama anakomaa kuoa unampa pori kiwangwa. Ajenge nyumba ya miti na nyasi ahamie na bibi harusi waanze kulima mananasi. Anashinda hapo ndani kuna dstv imelipiwa premium anadhani tambarare. Hehehe

Kwa vyovyote vile huyu dada mumewe nae 'analelewa hapo'
sohata watu wakiongezeka yeye haitamgusa financially
huyu dada inaonekana anabeba majukumu meengi mno kuanzia kulea mume hadi watoto wa ndugu wasio na shukrani kama hawa.......there is more to it than what she says
 
Kijana anataka ku secure territory first

muacheni aoe halafu yakimshinda binti arudi kwao

itakuwa so much easier.....hasa binti akirudi na mimba au mtoto

wote watakua wamejifunza life siolelemama

amkubalie aoe halafu akaishi kwao na mkewe? kijana mwenyewe ni mwanafunzi bado.
 
Amekuja likizo anatakiwa arudi chuo mwisho wa mwezi huu,ameshikilia lazima apose ndio aende manake mwanamke amemwambia kuna mtu pia anataka kumposa,yani aliponambia hivyo nikasema huyu hajui watoto wa kibongo
lakini naanzaje kumwambia huyu msichana muongo....hapa sichanganyiiiii sijui nisemeje ili anielewe...

Kijana kapagawishwa na uongo.
 
Uyo kijana ni punguani. Usihangaike naye. Mwambie akioa atafute pa kukaa na mkewe. EOF
 
Uyo kijana ni punguani. Usihangaike naye. Mwambie akioa atafute pa kukaa na mkewe. EOF

Mkuu ni mtoto Wangu kama mzazi now ajibu Wangu kuakikisha anafanya maamuzi yalo sahihi nanijitahidi ili anielewe...
 
Kwa vyovyote vile huyu dada mumewe nae 'analelewa hapo'
sohata watu wakiongezeka yeye haitamgusa financially
huyu dada inaonekana anabeba majukumu meengi mno kuanzia kulea mume hadi watoto wa ndugu wasio na shukrani kama hawa.......there is more to it than what she says

The Boss there is nothing more to it than what I have said, huyu mumewangu simlei ana kampuni Yake alhamdulillah he is well to do, hawa watoto ni yatima wazee wao walikufa Kwa HIV kipindi naolewa 14 yrs ago ndugu wote waliwaona mzigo Mie nikakubali kuwalea bila kujisikia kua wakiwa niliwapenda kama wanangu na still nawapenda, tatizo la mume Wangu ni moja tuu ikifikia mda wa kuamua kama baba hua habishani anasema si ametaka wembe mpe ukimkata atawacha full stop, nikiwa kama mama niwajibu Wangu ku make sure familia yangu iko na amani...
 
Jitahidi kumshauri pia onana na huyo girlfriend wake. Kwa umri huo, anatafuta matatizo. Nafikiri anahitaji miaka 6-10 kufikiria suala la kuoa otherwise hizo ni dalili za divorce za kesho kutwa tu.

Mkuu yani hata sitaki ifike huko kote...mzazi wa huyo binti amenisemea mbovu sina hamu...
 
Back
Top Bottom