NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
- Thread starter
- #181
Sikujua Kama dunianii kuna watu wema Kama wewe.babangu alifariki nikiwa na miaka mitatu.mama akamfuata miaka Saba iliyofuatia.at the age of ten ilibidi niishi na ndugu ambao walinichukia Sana.nashukuru mungu sa hivi najitegemea.sikupata malezi mema.nashangaa huyu kijana pamoja na kufanyia yote hayo anakudharau...nadhani itabidi ukate usaidizi wako kwa mda ili aamke kutoka huo usingizi Wa ujinga
Pole sana, Unajua huyu kijana Sio kama namtetea ila nikijana mzuri Sanaaaa ndio mana najitahidi arudi Kwenye akili Yake ukionana nae utasema ame husudiwa ananipenda sanaaaaaa anajua wapi nimemtoa na hushukuru kila mara lakini imefikia kipindi ananiliza...