Hivi vijana wengine mnaharakisha nini kuoa?

huyo mume wako nadhani hampend huyo kijana kama anashauri aoe. Kwa uwezo gan alonao aoe au atamtunza yeye na mke wake
Unajua hizi tamaduni zetu zinatufanya hata watu wazima tuendelee kuwalea kama watoto wadogo. Huyo mtu yupo chuo, ana udogo gani huyo, na kama kweli yupo chuo, na bado hatambui ni mambo/majukumu yapi yanakuja na ndoa basi hajitambui. Kama anadhani kuoa ni urahisi wa kwenda downtown kila anapojisikia, mwacheni aoe. Huyo Baba mtu yupo sahihi kabisa!.
 
Huo ndio utu uzima. Kwa bahati mbaya umegundua hilo ikiwa too late. Siku nyingine kubaliana na mumeo kwani yeye ni mwanaume na ujana alipitia hivyo alivyosema mpe wembe umkate alijua kuwa hata usemeje akiamua hakuna wa kumrudisha nyuma mwanaume yoyote. Aidha kumbuka kwa wanaume si chochote kwa PAPUCHI
Nikulize kitu? Nikiwa kama mzazi sina haki yakutaka mtoto wangu awe na better future? hata kama ameamua lakini i tried
na sasa anajua umuhimu wa Mama nyumba anaipita nje mkewe amemwambia Ahame watalala ukumbini mpaka lini na mwanawe,kama kuomba sorry amemtuma shangazi yake lakini kwaupande wangu am done with him.....
 
Unajua hizi tamaduni zetu zinatufanya hata watu wazima tuendelee kuwalea kama watoto wadogo. Huyo mtu yupo chuo, ana udogo gani huyo, na kama kweli yupo chuo, na bado hatambui ni mambo/majukumu yapi yanakuja na ndoa basi hajitambui. Kama anadhani kuoa ni urahisi wa kwenda downtown kila anapojisikia, mwacheni aoe. Huyo Baba mtu yupo sahihi kabisa!.

Mkuu kwanza mtoto mwenyewe yatima hana baba wala mama sasa nashanga kitugani kilikua kinamtia jeuri,na huko kwa mkwe wenyewe wanakaa chumba kimoja na ukumbi,na walikua wanalala ukumbini sasa mkwe ameona vijisenti vimekwisha amemwambia ajipange,sasa mie langu jicho tuu mkono na shavu langu.......
 
Nikulize kitu? Nikiwa kama mzazi sina haki yakutaka mtoto wangu awe na better future? hata kama ameamua lakini i tried
na sasa anajua umuhimu wa Mama nyumba anaipita nje mkewe amemwambia Ahame watalala ukumbini mpaka lini na mwanawe,kama kuomba sorry amemtuma shangazi yake lakini kwaupande wangu am done with him.....
Unayo haki ila ina mipaka. Mtoto akitimiza miaka 18 mamlaka yako kwake yanapungua hadi asilimia 10 tu. Hilo ukilielewa hutapata pressure
 
dada angu sisi mdogo wetu alitaka kuoa kazi hana shule ishamshinda,kutegemea nyumba za urithi za mama
tukamkanya akatuona wabaya na ugomvi hauishi bas watu wakatushauri muacheni
hvi nnavyokwambia ndoa chali binti karudi kwao tena ya kanisani hapo
alifunga ndoa july2013 mwaka jana june wametengana na binti yupo kwao tandika
muachie wembe huyo mama ndo atasoma rangi zote
 
Huyo dogo anaendeshwa na huyo msichana wake. Mwanamke wa chuo ni tofauti na mwanaume.
 
Ndg yangu hilo la 10% sikubaliani nalo hata mara moja. Miaka 18 unayoiongea wew ni ile ya yeye kuwa na maamuzi yake pasipo kuwa tegemezi wa mtu. Huyo mtoto karo anategemea kwa huyo dada. Kitanda hadi kula anamtegemea huyo dada. Bado yuko mikononi mwa huyo dada hivyo nilazima afuate kile anachokiamua. Kama anaona amekuwa mkubwa basi aondoke katika utegemezi wa huyo dada akafanye yake mwenyewe.

Mie nasimama kwa huyo dada aendelee na huo msimamo hata kama watu watamwona mbaya. Ila dada msimamo wako ni sahihi na hupaswi kuteteleshwa na mtu.

Nina amini huyo kijana atakuja kupiga tu magoti kwa kujua alifanya kosa.
 
Nimemuachia ,na nimeshamwambia hata akiachana na huyo mwanamke kwangu basi tena amenifanya nijiulize maswali mengi sana ....
 
Mkuu hapa tunapo zongea mama wa yule binti amemwambia kijana kua ajipange wao wenyewe wanakaa room1 na sitting room hawawezi kumpa room kwahiyo ajipange,kijana ameshaanza kuona joto ya jiwe sababu alikua hajui kununua chochote mpaka boxer anayovaa Mimi nanunua anajua kuagiza Mom nataka viatu vya Jordan mom nataka nyoko sasa
anaiyona joto ya jiwe na amini mkuu hata akija ntamsamehe kama mzazi lakini not in my house again.
 
Mkuu miaka 18 unayoizungumzia ni sijui ni ipi lakini as long as ni mtoto wangu mie nilazima afate sheria na mila na desturi za kwetu, na sijamkatalia kuoa lakini mda ukifika anakimbilia nini? hana kazi hana nyumba sioni tofauti ya yeye na mtoto mchanga manake anafikiriwa kuanzia kula mavazi na shule, alitaka kunipanda kichwani au alitaka kunijaribu,hiyo asilimia 10 ndio ipi? au yakumlisha,kumvisha,kumsomesha,gari yakuendesha au kuna zaidi?
Mkuu usifanye rahisi kwa wenzio sio rahisi kama unavyo fikiria ukizingatia SIO mtoto wakumzaa mwenyewe.
 
Halafu msichana mwenyewe ameacha shule darasa la 6 anamtoto analea ya kweli anafikiria vizuri?
 
Mkuu hapa tunapo zongea mama wa yule binti amemwambia kijana kua ajipange wao wenyewe wanakaa room1 na sitting room hawawezi kumpa room kwahiyo ajipange,kijana ameshaanza kuona joto ya jiwe sababu alikua hajui kununua chochote mpaka boxer anayovaa Mimi nanunua anajua kuagiza Mom nataka viatu vya Jordan mom nataka nyoko sasa
anaiyona joto ya jiwe na amini mkuu hata akija ntamsamehe kama mzazi lakini not in my house again.

Akija kwa kumasamehe msamehe hata kwa kurudi nyumbani. Lkn anarudi km yeye sio na huyo mkewe. Arudi yeye km yeye na kwa lengo la kuendelea na shule. Lln km ni kurudi kwa kutafuta hifadhi ya yeye na huyo mkewe hapo ngumu. Hapo akapange anakojua.

Kwanza lazima ajua kuwa wewe unacgokifanya ni fadhila tu huna wajibu wa kisheria hata kulipia karo. Sasa km hilo halitambui aende huko duniani aliko mwali mkuu wa maisha.
 
Nimemuachia ,na nimeshamwambia hata akiachana na huyo mwanamke kwangu basi tena amenifanya nijiulize maswali mengi sana ....

we muache tu sie wakwetu yupo tu anajuta na kasema sitaki tena mke
maana binti alikua mchonganishi hatari yani jeuri alikua anakaa sehemu moja na dada etu mkubwa maana nyumba zipo tatu kwa moja kila mtu na yake moja imepangishwa ila dah alituvuruga hatarii ya MUNGU mpaka leo hamu hana
 
siku iz wasomi wameisha
ivi ata mfano wa kina mbasha,Gadner haoni
 
Akija kwa kumasamehe msamehe hata kwa kurudi nyumbani. Lkn anarudi km yeye sio na huyo mkewe. Arudi yeye km yeye na kwa lengo la kuendelea na shule. Lln km ni kurudi kwa kutafuta hifadhi ya yeye na huyo mkewe hapo ngumu. Hapo akapange anakojua.

Kwanza lazima ajua kuwa wewe unacgokifanya ni fadhila tu huna wajibu wa kisheria hata kulipia karo. Sasa km hilo halitambui aende huko duniani aliko mwali mkuu wa maisha.

Apana mkuu nna moyo na mie kama yeye, imani yangu kwake imepungua sanaaa sikutegemea kama anaweza kuchagua mwanamke kuliko mimi nilomlea kwa mapenzi nakufikia kunambia wewe sio mamangu ndio mana hutaki niowe na anajua wazi kua ndegu wote waliwakata siku enjoy ndoa yangu sibabu wao leo ana mdomo wakunambia simpendi iliniuma sana.
 
Ndg yangu hilo la 10% sikubaliani nalo hata mara moja. Miaka 18 unayoiongea wew ni ile ya yeye kuwa na maamuzi yake pasipo kuwa tegemezi wa mtu. Huyo mtoto karo anategemea kwa huyo dada. Kitanda hadi kula anamtegemea huyo dada. Bado yuko mikononi mwa huyo dada hivyo nilazima afuate kile anachokiamua. Kama anaona amekuwa mkubwa basi aondoke katika utegemezi wa huyo dada akafanye yake mwenyewe.

Mie nasimama kwa huyo dada aendelee na huo msimamo hata kama watu watamwona mbaya. Ila dada msimamo wako ni sahihi na hupaswi kuteteleshwa na mtu.

Nina amini huyo kijana atakuja kupiga tu magoti kwa kujua alifanya kosa.
Hiyo ndiyo haki ya Dada sasa (pekundu). Utegemezi unanyima haki ni sawa na ni uamuzi wa huyo dada kusitisha misaada na kumfukuza nyumbani maana ni zaidi ya miaka 18. Kumbuka dada hawezi hata kwenda polisi kumshtaki kijana ikiwa ameamua kujitegemea. Akijitegemea mzazi una asilimia 10 tu ya maamuzi ya kijana wako baada ya kufikisha miaka 18. Kama ulivyosema njia ni moja tu, ni huyu mama kumfukuza (mama ana haki ya kufanya hivyo maana ana miaka zaidi ya 18 na asishitakiwe popote) na hata kutomlipia karo. Lakini hana uwezo wa kumlazimisha kuachana na kipenzi chake na mtoto wa kufikia.
 
Shtuka uyo kjana kampa mimba ndo maana anakuja kasi na ishu y ndoa ukute upande wa huyo dada n nouma na hachezew mtu ovyo.
 
Mkuu miaka 18 unayoizungumzia ni sijui ni ipi lakini as long as ni mtoto wangu mie nilazima afate sheria na mila na desturi za kwetu, na sijamkatalia kuoa lakini mda ukifika anakimbilia nini? hana kazi hana nyumba sioni tofauti ya yeye na mtoto mchanga manake anafikiriwa kuanzia kula mavazi na shule, alitaka kunipanda kichwani au alitaka kunijaribu,hiyo asilimia 10 ndio ipi? au yakumlisha,kumvisha,kumsomesha,gari yakuendesha au kuna zaidi?
Mkuu usifanye rahisi kwa wenzio sio rahisi kama unavyo fikiria ukizingatia SIO mtoto wakumzaa mwenyewe.
Pekundu ni haki yako ya msingi. Lakini naye ana haki yake ya msingi ya kufanya atakalo. Haiwezekani mafahari wawili wakakaa zizi moja. Hivyo ni muhimu mmoja atelemke ili maisha yaendelee. Nina maana aidha wewe ukubaliane naye aoe amlete muishi wote (wewe utakuwa umejishusha) au uendelee na msimamo wako (ambao hata mumeo alikuhusia kuwa mtoto akitaka wembe mpe umkate) sitisha karo, fukuza nyumbani. Unavyotaka kumshawishi unapoteza muda ni aidha arudi kwako kwa masharti au aendelee na uamuzi wake ila usimsaidie.

Kwenye Blue ni kwa faida ya wasomaji, msiwe mnajisahau msaada ni msaada na wala haiwezi kuwa haki. Kama mtu si Biological Parent ni lazima kila wakati ujishushe.
 
Back
Top Bottom