Kweli kulea ni kazi,najua uchungu uupatao ila lazima ujue sisi vijana ndivyo tulivyo, nnavyoona kashaonjeshwa kitu kitamu na mtoto kadata, hapo huna jinsi simama kama mlezi na uwe na msimamo katika hili swala!! lakin mbona inaonyesha mzee kama hajigusi? jua kwamba wewe ni msaidizi wa mzee, kaa nae kwanza umweleweshe maana si picha nzuri ikiwa mzee anasema OK then wewe unapinga, kazana wewe na mzee wote muwe na msimamo mmoja kama mnakataa mkatae wote na kama mnakubali mkubali wote!!! alafu kingine, mjitahidi (hasa mzee) kuwa karibu nae hasa kumwelimisha na kumshauri maswala ya maisha na kumskiliza nini anataka.
By the way futa machozi pole sana.