NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
- Thread starter
- #21
Amekuja likizo anatakiwa arudi chuo mwisho wa mwezi huu,ameshikilia lazima apose ndio aende manake mwanamke amemwambia kuna mtu pia anataka kumposa,yani aliponambia hivyo nikasema huyu hajui watoto wa kibongoyaan ukimruhusu aoe ujiandae kumtunza yeye na mke ikiwemo kumsomesha amalize shule yake au kumwacha aishi maisha yake mwenyewe atakayokuwa amechagua. Endelea kumshauri lakin ataelewa labda. Yawezekana hako kadada kameng'ang'aniza akaoe nae hataki kukapoteza
lakini naanzaje kumwambia huyu msichana muongo....hapa sichanganyiiiii sijui nisemeje ili anielewe...