NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
- Thread starter
- #61
Mkuu mie nia yangu asome awe na maisha yake manake waliwasema sana kua hawa watoto watakua washezi wa fadhila kama wazazi wao lakini mimi sikuamini na mpaka sasa siamini,nimejitahidi kuwapa mapenzi na waone maisha kwa mtazamo mwengine lakini wapi wenzake wawili wanamaliza chuo mwakani huyu ndio ananiumiza kichwa na i wony give up on him ,ntajitahidi sana na nikishindwa ntaumia sanaaaa...Sasa Mungu akupe nini sasa Dada angu, Hapo cha kufanya usichangie hata senti katika hizo pilika, muache aoe...Tena kama hana kazi ndo kheri....Tafuta mtaji fungua biashara hata ya duka, mgeni siku ya tatu jembe begani ama neneee, unamwambia Shost kukaa bure haiwezekani, kaa dukani...
Unajipatia mfanyakazi wa bureee....