Hivi vidonge kweli ni viagra?

Sikuhizi mbaazi si bidhaa adimu tena, ziko kwenye make up bags.
Haaaa Bi Shostee Kapotea kabisa kwenye UZI,Yap ni Muhimu sana kupiga Commet Vipima Joto na Mifuko ya Suruali ya Wenza endapo akienda kuoga kwanza kabla ya Kuanza MECHI.
 
Mkuu nimecheka sana, huyo dada anashangaa jamaa anasugua mpaka anachubuka kumbe jamaa ana pitisha vimelea.
Ajui jamaa anamfanya sampo,,Dada anafurahia jamaa anavyopambana tu,hahahahahaaa
 
lazima ujue kutofautisha rangi za dawa na reality ya drug hiyo...ona hapa chini


 
kwa hiyo dawa nyingi zimebe named 123 kutegemea na kiwanda kinachotengeneza aina za vidonge....kwa mfano ukiangalia hapo juu hata ciplo zinazotibu UTI ni 127 &123 type kwa hiyo ukikutupuka unaweza jua ni ARV kumbe siyo..pita hata ibuprufen dawa zinazzotibu tumbe la blid kuuma sana pia ni 123 type ..pia kuna dawa nyingi sana..zimepewa namba 123&127 kwa hiyo unatakiwa ujue rangi zake and not labelled cover or number...kwa hiyo mpka hapo unaweza jua ni aina gani hiyo mama...
 
Ajui jamaa anamfanya sampo,,Dada anafurahia jamaa anavyopambana tu,hahahahahaaa
mnapaswa kumpa pole coz hakujua...na jambo usilolijua ni kama usiku wa giza..hata wew unaweza ukaja kufa kwa uaminifu..unajua kufa kwa uaminifu braza..??
yani unashangaaa una honjwa ambalo limeletwa na mwenzi wako bila kujua..kila mtu huwa anadanganyika kwa vitu ambavyo hakutegemea...so keep on praying ndoa yako iwe nzuri coz kabla hujafa hujaumbika na ikumbukwe kabla hujauona uzeee wako hujakua pia
 
Pole mamii, jikaze upime kwani inawezekana uko salama! Afu nadhani uolewe sasa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…