Hivi viapo vya mapenzi vina madhara?

Hivi viapo vya mapenzi vina madhara?

ongea nae mweleweshe....asipokubali jua unalo....na huwezi sema tu hivi hivi eti sina hisia nae tena....kirahisi rahisi tu...em vaa viatu vyake kwanza ungefanyaje....
Ingeuma ofcoz
 
Muache tuu kama una sababu nzito na ya msingi mbn mm nilimuacha wangu tulishikiana mpaka biblia na tukaapiana atutoachana lkn nilimuacha kwa kuwa alinicheat nikamuacha japo alinisumbua sana kunibembeleza turudiane alilia sana lkn nilimuacha msimamo wangu ulikuwa pale pale lzm nimuache mana mwanamke mm akishanicheat hana thamani tena kwangu kwaiyo kama una sababu nzito ya kumuacha ww muache tuu aita kueffect na chochote kile usiogope...ila usimuache eti kisa umemchoka no muache mwananamke kwa sababu nzito yenye mashiko kama labda kacheat apo kweli ww uyo mwanamke muache tuu mana afai tena ila sijui uko busy ndo umuache mzee apo utakuwa unazingua co poa kufanya ivyo...
Nimekupata Boss
 
Huna feelings na mtu uliyempenda mpk ukawekeana naye viapo?

Amin amin nakuambia hata huyo mwingine utakayempata hutakuwa na feelings naye kwa muda mrefu. Love is not all about feelings...I tell you me.
Nipe shule Mkuu
 
Don't dare hata ile kujaribu tu. Ubusy wako usiwe kisingizio cha kumuacha mwenzako hapo hakuna excuse hata kidogo wewe rejesha upendo kama awali tu na kisha fungeni ndoa kukamilisha agano lenu. All the best
Balaa Zaidi Nilimwahidi Kumuoa
 
sio wote
waliofikwa na hayo nikwamba walikuwa na imani kama unavyosema
nasio mpka yakutokee katk wakati huo huo ama muda mfupi baada ya kumuacha kijana wawatu

waweza kufikwa na mitihani yakimaisha baada ya kupita miaka 10 tangu ulipoamua kumuacha muhusika ila kwakuwa wewe nimtupa maganda kwampita njia utakuwa umesahau kuwa yanayokufika yanakufika kwakuwa tu yana nguvu ya laana ile uliyoitenda
waweza kufilisika ..kusingiziwa kesi. .kunyanyasika ktka mahusiano yko mapya dhidi ya yule uliyempata e.t c

niliachanaga nampenzi wangu niliyewahi kudumu nae kwa muda wa miaka mi4 kwaajili ya vituko vyake but hali aliyonayo sasa nikimtazamaga huwa namuonea huruma mnooo
binafsi sikuwahi kumlalamikia mungu hata siku moja nilimuacha kwa Amani tu
Mie kuna ex wangu wa kawaida ila alikuwa real sana. Nlianza nae akiwa mshamba mwanzoni ila baada ya kujua makeup, kuweka makucha na kuweka ma weaving kichwani nikamsifia sifia basi akajiona mzuri kupitiliza. Nilijitoa sana kwake kwa hali zote ila akajiona keki akaniletea ushenzi sana, jeuri nkamwambia nenda mama, kama sikuwahi kukupenda na kukuthamini kwa dhati yangu basi mungu atanilipa.

Basi hapati mtu wa maana toka tuachane. Anashobokea watu ili aolewe fasta ila wapi, anavuliwa pichu na kupigwa chini ndio imekuwa style yake. Namsare kwa mbali anavyohangaika matokeo yake amerudi analia lia ili turudiane eti nimsamehe. Sina la kumjibu namtazama tu maana naelewa karma inafanya kazi.
 
Sina Hisia Nae tena
huyo ambaye unahisi kuwa hisia zake zipo kwako
nae hisia zake zipo kwa mtu mwingine mkuu
ila unapokutana nae nakuongea nae huwa anakupa maneno laini nahuba za udanganyifu mithili ya mng'ao wa Almasi ili aweze kukutumia either kingono au kimaslahi Fulani
so ikifika kipindi akachshwa na moja ya hizo huduma zako atakuacha solemba tu kisha nawewe ndio utkuja kuitambua aina ya Rangi ya maumivu uliyowahi kumpatia na mtoto wawatu

may take kwa ssi watoto wakiume NIBORA UISHI NA MPENZI AMBAYE ANAYEKUPENDA KULIKO YULE AMBAYE WEW UNAAMINI KUWA UNAMPENDA
siku HuBa likichacha utkuja kuanzisha uzi na kuwatukana wanawake wote humu ukiamini kuwa niwabaya
ilhali wakati huo huo baba yako na mama yako ndoa yao inazaidi ya miaka 35 tangia waifunge
hahaa
 
kuna dada nmoja yeye aliniambia niandike barua kwamba sitamsaliti yeye tu ndio atakuwa mchepuko wangu (wote tupo kwenye ndoa) pia niweke picha yangu na mwisho ni sain....dah nilijiuliza sn ...mwisho nikashindwa mashart na uhusiano ukafa.
 
Kumuacha huyo demu lazma kuna impact hasa ukiwa umewekeana nae kiapo cha kumuoa na binti anakutarajia wewe umfanye mke. Anakupenda na kajitia imani asilimia mia moja kwako.
Hutaiona io impact leo wala kesho ila ipo siku yale maumivu utayompa yatakurudia in the same weight. Utajiskia uchungu sana ila pengine unaweza usijue ni nini hasa ndo shida.
 
Mie kuna ex wangu hapati mtu wa maana toka tuachane. Anavuliwa pichu na kupigwa chini ndio imekuwa style yake. Namsare kwa mbali anavyohangaika matokeo yake amerudi analia lia ili turudiane.
extro
umeinyaka hiyo eehh
inshort huwezi kuchezea hisia za mtu kisha karma ikakuacha Salama
yaani mtu ajitoe kwako kwakila hali na Mali nawew ukashiriki kumrubuni kuwa unampnda kisha umnyanyase nakumkimbia useme kuwa utabaki Salama nikujifariji huko
kama hujafikwa na tatizo leo basi tambua kuwa wakati watatizo kufika kwako bado haujafika TATIZO LIPO BUSY KUWAADHIBU WATU WENGINE KWANZA .likimaliza kazi yake huko litawasili kwako
hicho ulichokisema toka kwa ex wako kiuhalisia nimazingira yanayotufika vijana wengi sana ila kwakuwa baadhi hawana weledi wakutambua mambo wanashindwa kunga'amua hilo ''
hamjawahi kusikia kuna watu wamekimbiwa siku ya ndoa ..muwe mnajiuliza back ground zao zilikuwaga vipi !!? na je huyu aliyemkimbia mwenzake siku ya ndoa atkuwa na maisha ya aina gani baada ya miaka 10 ijayo
tusidnganyike na hizi luxury life tunazo muona Nazo sasa
 
Jamaa inavyoelekea ukija kuoa
IPO siku utkuja kumuona mkeo kisa tu huna hisia nae
unashindwa kutambua kuwa desturi ya mahusiano yoyote Yale iwe ni ya urafiki ama mapenzi huwa yanakawaida ya kupanda na kushuka
haya tuseme kwamba ya urafiki yanaposhuka
unaweza ukaachana nayo cuz maybe itakuwa hkuna faida tena unayoipata toka kwenye huo urafiki wenu
so nivipi endapo yakishuka kwa mkeo ambaye nimama wawanao utamuacha au sio ..kisa tu hisia huna hisia nae ..yaani kisa hunà hisia nae basis utakuwa umeamau kutoheshimu hisia za mwenzio mpka hisia za watoto wako pia .na za ndugu na Jamaa ambao wanaiheshimu ndoa yenu
aiseeee wewe mtoa mada unapaswa kukua ndugu yangu
hayo mambo yakumuacha mtu kwakukosa hisia nae huwa wanafnya wanawake tena niwale ambao wapo kwenye kundi la wenye akili mtambuka
 
Kumuacha huyo demu lazma kuna impact hasa ukiwa umewekeana nae kiapo cha kumuoa na binti anakutarajia wewe umfanye mke. Anakupenda na kajitia imani asilimia mia moja kwako.
Hutaiona io impact leo wala kesho ila ipo siku yale maumivu utayompa yatakurudia in the same weight. Utajiskia uchungu sana ila pengine unaweza usijue ni nini hasa ndo shida.
Na balaa lake kipindi icho nilimwahidi kwamba Lazima Nimuoe!
 
Jamaa inavyoelekea ukija kuoa
IPO siku utkuja kumuona mkeo kisa tu huna hisia nae
unashindwa kutambua kuwa desturi ya mahusiano yoyote Yale iwe ni ya urafiki ama mapenzi huwa yanakawaida ya kupanda na kushuka
haya tuseme kwamba ya urafiki yanaposhuka
unaweza ukaachana nayo cuz maybe itakuwa hkuna faida tena unayoipata toka kwenye huo urafiki wenu
so nivipi endapo yakishuka kwa mkeo ambaye nimama wawanao utamuacha au sio ..kisa tu hisia huna hisia nae ..yaani kisa hunà hisia nae basis utakuwa umeamau kutoheshimu hisia za mwenzio mpka hisia za watoto wako pia .na za ndugu na Jamaa ambao wanaiheshimu ndoa yenu
aiseeee wewe mtoa mada unapaswa kukua ndugu yangu
hayo mambo yakumuacha mtu kwakukosa hisia nae huwa wanafnya wanawake tena niwale ambao wapo kwenye kundi la wenye akili mtambuka
hahahahaa
 
Back
Top Bottom