wallahi nakoma Ndugu yenu.Kiukweli itakugharimu kidogo kama miaka 4-6 shida utapata katika mahusiano kazi na mikosi usio taraji unapofanya agano lolote wawili basi ujue munguwenu ndiye shahidi kulivunja lazima apeleke faida upande ulio athirika think twice
kwanza kwanni utake kumuacha mtu ambaye aliyejitoa kwako kiasi hchoMungu wangu, Kweli Mkuu Huyu Mwanamke amenipa kila kitu chakee kwa upendo Mmoja sasa Nifanyeje?
Acha kutisha wenzakoIli kuvunja agano sharti damu ya mwanakondoo imwagike na nyama yake ichomwe moto kama sadaka ndipo utakapokuwa umejinasua
Kujinyonga ni hatua ya mwsho ya mtu aliyekata tamaayap husababisha vifo vya aina ya kujinyonga ambavyo hutishia Tanzania yetu
Hakikisha mnaachana kwa amani. Baada ya hapo mind your fkng businessdaah unanipa Moyo!
Kilichomtesa ni imani yake. Ujinga ukiuendekeza lazima ukutese.Ma agano si mazuri nakumbuka former colleague wangu aliweka hayo maagano Na mpenzi wake akapata kitu kipya akasahau agano akamuacha kwa vishindo umaskini Dada wa watu aliumia sana. Yule colleague alioa lakini hakupata mtoto ng'o baada ya miaka 4 akakumbuka lile agano akamtafuta former girlfriend akamuomba msamaha kwa magoti. Akasamehewa Na kweli baada ya msamaha akapata watoto lakini.sasa watoto wamekuwa hakuna hata mmoja wa maana. Yaani kwa ujumla bora asingekuwa Na watoto tu. Hiyo ndio power ya agano LA kumkosea MTU ambae ni innocent Na alijitoa kwako.
Basi tu mm sina feelings nae tena!kwanza kwanni utake kumuacha mtu ambaye aliyejitoa kwako kiasi hcho
halafu utegemee kutopigwa laana na ulimwengu aiseee cjui
maana kabla ykuchukuwa hayo maamuzi yako yakupasa utambue na athari atakazo zipata muhusika if ikioltokea kajiua utaweza kureplace uhai wake
then amekufnya jambo gani laajabu ambalo hujapendezwa nalo mpaka ikupelekee kutka kumuacha
Ushanitisha Tayari!Ma agano si mazuri nakumbuka former colleague wangu aliweka hayo maagano Na mpenzi wake akapata kitu kipya akasahau agano akamuacha kwa vishindo umaskini Dada wa watu aliumia sana. Yule colleague alioa lakini hakupata mtoto ng'o baada ya miaka 4 akakumbuka lile agano akamtafuta former girlfriend akamuomba msamaha kwa magoti. Akasamehewa Na kweli baada ya msamaha akapata watoto lakini.sasa watoto wamekuwa hakuna hata mmoja wa maana. Yaani kwa ujumla bora asingekuwa Na watoto tu. Hiyo ndio power ya agano LA kumkosea MTU ambae ni innocent Na alijitoa kwako.
Chapa lapa. Usitishwe na maneno ya humu. Cha muhimu kuwa gentleman.Basi tu mm sina feelings nae tena!
Nimesoma articles achilia mbali hizo comments za wana.Daah umesoma Comments za wadau Lakini?
Mliapiana?imani Tu Sometimes inatokea Mtu Unakuwa huna Feeling Naye
Me Ambaye Niko Naye Nataka Nimrudishie Vitu Vyake Dhen Nimwambie Aendelee Na Maisha Yake
Nakumbuka Nilifanya Kwa Wa Kwanza Ikawa Peace Tu Vya kwangu Sikuhitaji Anirejeshee habadani.
UmenenaKuna jamaa aliwahi kuandika kitu muhimu sana humu.
Nanukuu "kama jambo hulijui na likawa lina mashaka na maisha yako bora uachane nalo na uzibe masikio lipite".
Naamn huo mlioufanya ulikuwa utoto tu, Ni sawaa na nyimbo zingine hivyo imani yako ikiamini hayo utateseka sana ila kama ni mtu wa kutokufatilia mambo ya kupuuzi kama mimi hauwez dhurika na lolote.
Ushauri wangu wako. Kuwa busy na kazi siyo sababu ya kusema uwez kuwa na mpenzi vizur muwekeane mipaka ila si kuleta siasa za 2020. Komaa nae mkuu