bandamo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,931
- 1,370
Kaa chini kuwa mpole mwambie tumedumu naona maagano yanachakaa tuyahuishe akikubali ndio siku ya kutenguawallahi nakoma Ndugu yenu.
Kaa chini kuwa mpole mwambie tumedumu naona maagano yanachakaa tuyahuishe akikubali ndio siku ya kutenguawallahi nakoma Ndugu yenu.
U cant convince a monkey that honey is sweeter than banana. Just let her go.akizingua?
Namwmbea mema mama swalehe ila nikikumbuka kiapo alichoapa naomba mungu Amsaidie alyoyafanya yanaumiza ila mapenz jaman yanauma sikia kwa mwenziosina hakika mkuu
sema kama alikuwa nimtu wakujitoa sna kwako mpka kupelekea kuyaweka maisha yke mashakani kivyovyote vile
MZEE baba kama ukimuacha tarajia kupata laana
kumbuka laana sio mpaka uokote makopo yaweza kukukumba kwnye kipato chako ukajikuta unafilisika na kuwa mtu wa madeni mpka utatamani kulikimbia jiji
Hahaaa daahNimesoma articles achilia mbali hizo comments za wana.
Umetendwa mzee babaHahaaa daah
Haina shidaNa mm niongezee swali apo.
Je mkiamua kuvunja wote kwa kuelewana inakuaje?
Kwa nini unataka kumuacha?Mungu wangu, Kweli Mkuu Huyu Mwanamke amenipa kila kitu chakee kwa upendo Mmoja sasa Nifanyeje?
hhaahaha baba salehe usinichekesheNamwmbea mema mama swalehe ila nikikumbuka kiapo alichoapa naomba mungu Amsaidie alyoyafanya yanaumiza ila mapenz jaman yanauma sikia kwa mwenzio
Duh!Basi tu mm sina feelings nae tena!
Mkiachana hua mnarudisha vitu mlivyopeana??imani Tu Sometimes inatokea Mtu Unakuwa huna Feeling Naye
Me Ambaye Niko Naye Nataka Nimrudishie Vitu Vyake Dhen Nimwambie Aendelee Na Maisha Yake
Nakumbuka Nilifanya Kwa Wa Kwanza Ikawa Peace Tu Vya kwangu Sikuhitaji Anirejeshee habadani.
Hapo haina shida,shida ipo kama mliwekeana viapo na mnavikana viapo vyenu ndipo utapo juta,kiapo ni kiapo tu hata mkubaliane wote hamtakuwa kama mwanzo.lazima mambo yawabadilikie tu,sijui pananini hapa kati!!Na mm niongezee swali apo.
Je mkiamua kuvunja wote kwa kuelewana inakuaje?
Komaa naye mkuu UTAJUTA kiapo kina nguvu sio utani .Mungu wangu, Kweli Mkuu Huyu Mwanamke amenipa kila kitu chakee kwa upendo Mmoja sasa Nifanyeje?