Hivi viapo vya mapenzi vina madhara?

Hivi viapo vya mapenzi vina madhara?

Daaah usijaribu hata kidogo ...kama alijitoa kwako kwa kila kitu I swear laana iko around ukimuacha....

Ogopa maagano...asikwambie mtu
 
hahaaa
mtoa mada nahisi he was committed suicide himself
nahisi stress zilimzidi kimo maana sio kwa mkwara ule then ghafla hatuoni mrejesho wowote wakati yaelekea nusu mwezi sasa
Mb zangu jamani tangu Trh 7 Niko online dah
 
Hayo ni maagano katika Biblia tunaita maagano. Yatakucost popote uendapo mpaka yakavunjwe kwa utaratibu wa dini. Watu wengi leo tunatembea na laana za watu tuliowaacha, tulifanya nao maagano sasa tumejifanya wajanja tumesepa ila roho zao zinatulilia popote tuendako mwisho wa siku matatizo kibao yanatuandama
Kaka lakin kuna viapo vile vya kawaida tu vile ambavyo unamwambia ntakuoa tena hasa kwenye sim lakin baadae mnapotezeana kila mmoja anakua bize mpaka mnaachana na hiyo nayo inaweza leta laana?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] shemeji enu tuliekeana kiapo adi kesho yupo yan cjafikilia kumuacha na cjui kama itatokea
toka lini?
 
Back
Top Bottom