Hivi viapo vya mapenzi vina madhara?

Hivi viapo vya mapenzi vina madhara?

mpenzi mpya !!?
kwahiyo huyu uliyetuomba ushauri dhidi yake kumbe umeshamuacha Tayari na umeshaamua kuwa na mwanamke mwingine nakama hujamuacha it means upo nae huku umeamua kuwekeza misuli ya akili yako na yaupendo kwa binti mwingine
sasa ushauri unaoutaka toka kwetu niwanni mkuu??
wakati umeshamsaliti Tayari

daahh ujana kwli noma
Mkuu kiapo kilikuwa cha kutomuacha....unajua kuna kuapiana kwmba usinisaliti au usiniache.
 
Mungu wangu, Kweli Mkuu Huyu Mwanamke amenipa kila kitu chakee kwa upendo Mmoja sasa Nifanyeje?
Usimwache,CC WANAUME TUNAZD PATA PESA,Ndo tunazd taman Pima oil kila gari,Sasa vaa !!!!sit belt !!!! Endelea na gari uliloanza nalo hapo ulipo...

-cha kale dhahabu-
Ila fuata moyo wako,kama unawasiwasi USIFANYE,ILA USIJIFANYE MOYO MGUMU .

[maisha magumu hatuna ela ya JENEZA na SANDA,akijiua na ukiuliwa]

-truth wounds a pain
 
Mkuu kiapo kilikuwa cha kutomuacha....unajua kuna kuapiana kwmba usinisaliti au usiniache.
hahaa sina hoja tena umetisha

maana nijuavyo mimi kumsaliti mtu nimoja ya sbabu kuu inayochangia kumuacha mtu ..ndio maaana sasa Hivi umebaki njia panda
.baada ya kumsaliti umeanZA Kumuona kuwa sio kitu
 
Usimwache,CC WANAUME TUNAZD PATA PESA,Ndo tunazd taman Pima oil kila gari,Sasa vaa !!!!sit belt !!!! Endelea na gari uliloanza nalo hapo ulipo...

-cha kale dhahabu-
Ila fuata moyo wako,kama unawasiwasi USIFANYE,ILA USIJIFANYE MOYO MGUMU .

[maisha magumu hatuna ela ya JENEZA na SANDA,akijiua na ukiuliwa]

-truth wounds a pain
Asantee sana mkuu
 
hahaa sina hoja tena umetisha

maana nijuavyo mimi kumsaliti mtu nimoja ya sbabu kuu inayochangia kumuacha mtu ..ndio maaana sasa Hivi umebaki njia panda
.baada ya kumsaliti umeanZA Kumuona kuwa sio kitu
Hio ni kweli but katika stage yote ya maisha kuna kusalitiwa...unaeza kumuacha flani kisa kakusaliti na huyo mwngne akikusaliti utaendelea kuachana??
Utaachana na wangap??
 
Hio ni kweli but katika stage yote ya maisha kuna kusalitiwa...unaeza kumuacha flani kisa kakusaliti na huyo mwngne akikusaliti utaendelea kuachana??
Utaachana na wangap??
haya mkuu
endelea kufuatilia ushauri wa waengine
 
Mie kuna ex wangu wa kawaida ila alikuwa real sana. Nlianza nae akiwa mshamba mwanzoni ila baada ya kujua makeup, kuweka makucha na kuweka ma weaving kichwani nikamsifia sifia basi akajiona mzuri kupitiliza. Nilijitoa sana kwake kwa hali zote ila akajiona keki akaniletea ushenzi sana, jeuri nkamwambia nenda mama, kama sikuwahi kukupenda na kukuthamini kwa dhati yangu basi mungu atanilipa.

Basi hapati mtu wa maana toka tuachane. Anashobokea watu ili aolewe fasta ila wapi, anavuliwa pichu na kupigwa chini ndio imekuwa style yake. Namsare kwa mbali anavyohangaika matokeo yake amerudi analia lia ili turudiane eti nimsamehe. Sina la kumjibu namtazama tu maana naelewa karma inafanya kazi.
Wewe kuna kitu usichojua kuhusu wanawake siku hizi. Yaani hawako tayari kuolewa na akiolewa siku mbili tuu anakumbuka maisha ya usingle anaendelea nayo akiwa kwenye ndoa. Hakuna mwanamke anataka kuolewa siku hizi.
 
Waheshimiwa habari za usiku!

Ee bwana nina shida kidogo embu nisaidieni kuniweka wazi...

Kuna binti mmoja nina uhusiano nae kama mwaka hivi sasa katika mwanzo wa uhusiano wetu kama tuliapiana ile kwa maneno tu kwamba na kuahidi/apa kwa sintokuacha na ni kila mmoja alifanya hivo.

Sasa kiukweli mimi kwa sasa nipo bize sana na as you know as long as you are busy mapenzi nayo hupungua kwa kiasi flani, sasa huyu dada kila saa anapoona sipo responsive saana (japo kweli nina mpango huo wa kumuacha) amekuwa ananikumbusha kwamba kumbuka kiapo chetu.

Sasa im honestly asking je nikivunja huu uhusiano kuna shida na hii ishu ya kiapo cha mapenzi ni kitu real au myth tu?

''Never swear and promise what you can't deliver''
 
Wewe kuna kitu usichojua kuhusu wanawake siku hizi. Yaani hawako tayari kuolewa na akiolewa siku mbili tuu anakumbuka maisha ya usingle anaendelea nayo akiwa kwenye ndoa. Hakuna mwanamke anataka kuolewa siku hizi.
Mkuu si ndo wanahaha kuolewa!
 
Looo! Kiapo cha mdomo huvyo hakina madhara zaidi ya kuumizana mioyo tu!!! Kimbembe ni kile kiapo cha damu!!! Sijui watu hua wanafikiriaga nini mpaka kuwekeana viapo vya damu!
 
Usile kiapo kizembezembe, kiapo ni hatari sana ndio maana wengi wanaojua wanapiga chenga kula kiapo,anaweza kukuonesha mapenzi ya dhati kabisa lakini hayuko tayari kula kiapo, kula kiapo ni kujitia kitanzi.
 
Looo! Kiapo cha mdomo huvyo hakina madhara zaidi ya kuumizana mioyo tu!!! Kimbembe ni kile kiapo cha damu!!! Sijui watu hua wanafikiriaga nini mpaka kuwekeana viapo vya damu!
asantee unanipaa Moyo
 
Usile kiapo kizembezembe, kiapo ni hatari sana ndio maana wengi wanaojua wanapiga chenga kula kiapo,anaweza kukuonesha mapenzi ya dhati kabisa lakini hayuko tayari kula kiapo, kula kiapo ni kujitia kitanzi.
endelea kunipa shule boss
 
Bibilia inasema LAANA ISIYOKUWA NA SABABU HAIMPATI MTU, jua na kinyume chake.. naamini umenielewa
 
Back
Top Bottom